Baada ya Hamas kuvunja makubaliano Israel yasema itawanyoosha

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,545
Reaction score
7,941
Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham

Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na katika maiti hizo 4 waliweka na mzoga wa mpalestina mwenzao kitu ambacho kinaweza kuifanya Israel kurudi vitani na kumaliza kazi waliyoibakiza.

Kwa sasa inadai maiti 25 bila hao kipondo kinaweza kuanza wakati wowote kwa magaidi wa Hamas.

Operesheni miaka m2, Mmeshindwa hata kukomboa Raia1. Kazi kubomoa Vibanda na Kuua Raia wasio na Hatia.

Mshukuruni Trump kwa Kuwaondolea aibu maana alijua Hamyoboi kwa hyo njia yenu ya kurusha rusha Mabomu kama Hamna akili
 
Kwa hiyo hizo maiti za Israel zilikuwa mortuary ila hiyo mizoga ndiyo ilizikwa chini ya vifusi vya majengo yaliyoporomoshwa na mwisiraeli?
 
Hapo kwa mpalestina, unakosea kumwita ni mzoga. Ungeandika tu ni maiti ya mpalestina. Kwanza hiyo maiti inaweza ikawa ya mpalestina lakini sio Hamas. Na inaweza kuwa ya dini yoyote.
 
Wewe ni mgomjwa wa akili inabidi tukupeleke mirembe
Mpumbavu wewe. Mgonjwa ama wagonjwa wa akili ni MAMMBWA wenzio hamas waliovamia nchi nyingine na kuua kubaka na kuteka watu na badae kutumia wanawake na watoto wa Gaza kama shields kujikinga na mabomu..mwisho wa siku mwamba trump amewasaidia vita viishe , ila mwisho wa siku wameona watu mafala, kwa kutorudisha maiti ili ndugu zao wawazike kwa heshima..haya MAMMBWA ni ya kuua tu naombea taifa teule la Mungu lirudi kumaliza kabisa isiweppo Gaza wala gaidi aliesalia hata mmoja kumanyoko
 
Operesheni miaka m2, Mmeshindwa hata kukomboa Raia1. Kazi kubomoa Vibanda na Kuua Raia wasio na Hatia.

Mshukuruni Trump kwa Kuwaondolea aibu maana alijua Hamyoboi kwa hyo njia yenu ya kurusha rusha Mabomu kama Hamna akili
Magaidi waliokuwepo gaza wote wameuwawa..kazi iendeles hadi gaza iwe chini ya mayahudi
 
Kwa hiyo hizo maiti za Israel zilikuwa mortuary ila hiyo mizoga ndiyo ilizikwa chini ya vifusi vya majengo yaliyoporomoshwa na mwisiraeli?
Swali hilo kawaulize Magaidi wa Hamas
 
Nadhani hii ilikuwa mbinu ya kuwarudisha mateka ili kipondo iendelee baada ya kushindwa kuwaokoa
 
Acha kujitoa ufahamu Israel haijashindwa kuwakomboa mateka wake huko Gaza kumbuka waliteka watu 251 na Sasa waliobaki ni 20 tu na maiti 28 ikiwemo ya mtanzania mwenzetu Mollel.

Mateka wote walio hai wameshakombolewa wamebaki maiti amabao nao lazima Magaidi washenzi lazima wawaachilie bila hivyo kipondo kwao kiendelee bila wasi wasi maana hakuna namna nyingine.!!!!
 
Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham

Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na katika maiti hizo 4 waliweka na mzoga wa mpalestina mwenzao kitu ambacho kinaweza kuifanya Israel kurudi vitani na kumaliza kazi waliyoibakiza.

Kwa sasa inadai maiti 25 bila hao kipondo kinaweza kuanza wakati wowote kwa magaidi wa Hamas.

Wewe jamaa mkundugu sana.
 
Mpumbavu wewe. Mgonjwa ama wagonjwa wa akili ni MAMMBWA wenzio hamas waliovamia nchi nyingine na kuua kubaka na kuteka watu na badae kutumia wanawake na watoto wa Gaza kama shields kujikinga na mabomu..mwisho wa siku mwamba trump amewasaidia vita viishe , ila mwisho wa siku wameona watu mafala, kwa kutorudisha maiti ili ndugu zao wawazike kwa heshima..haya MAMMBWA ni ya kuua tu naombea taifa teule la Mungu lirudi kumaliza kabisa isiweppo Gaza wala gaidi aliesalia hata mmoja kumanyoko
Wewe mwenyewe mkundugu.
Kuita binadamu wenzio ma mbwa.
Stupid.
 
Wewe jamaa mkundugu sana.
Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini nalijua sana mara zote mkikosa mada huwa mahodari sana kurusha matusi kwa hiyo hamnibabaishi na usenge wenu huo!!!
 
Acha kujitoa ufahamu Israel haijashindwa kuwakomboa mateka wake huko Gaza kumbuka waliteka watu 251 na Sasa waliobaki ni 20 tu na maiti 28 ikiwemo ya mtanzania mwenzetu Mollel.

Mateka wote walio hai wameshakombolewa wamebaki maiti amabao nao lazima Magaidi washenzi lazima wawaachilie bila hivyo kipondo kwao kiendelee bila wasi wasi maana hakuna namna nyingine.!!!!
Wewe una matatizo ya akili,badala ya kuongea fact unaongea kishabiki,una matatizo ya akili we ni tahira
 
Nimekupa fact lakini kwa sababu elimi yako ni ndogo umeshindwa kuelewa najua si kosa lako bali ni la Wafuga Midevu na Majini wote maana hawajitambui
 
Mkuu mimi sio hao wafuga mandevu,ila wewe umekuwa tahira,kama mtu una elimu kwenye fact inaonekana ukweli haupindiki,ila wewe ni kama chizi,ukiwa shabiki halafu mpumbavu ni shida,we ni mjinga mjinga sana
 
Akili zako basi zinafanana na hao maana hawaishi kulalamika na kutoa matusi kama wewe!!
 
Back
Top Bottom