israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel huu sasa uzembe

    Jana nimeona kwenye BBC ugaidi unaofanywa na Palestine kurusha makombora kwa raia na kwenye nyumba za ibada, matisho kwa raia Wa kiyahudi yakuwa chungu mzima, serikali ya Israel sasa hamkwepi lawama kwenye hili. Haiwezekani nchi kama Palestine isiyo na jeshi ila vikundi vya kigaidi inatesa...
  2. JamiiForums Tanzania Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

    Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini. 'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio silaha kuu ya Hamas (Magaidi wa Palestina) inayowaumiza vichwa Israel

    Silaha kuu wanayotumia Magaidi wa Palestina (HAMAS) ni raia wema na makazi yao, Ni ngumu sana kupigana na mtu anaetumia maisha ya raia wema kama ngao. Pale Israel napopanga shambulizi huwa inatumia rasilimali nyingi, muda mwingi na maandalizi ya umakini ili kupunguza maafa kwa raia wema pindi...
  4. JamiiForums Tanzania Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

    Kwema wakuu. Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni watu wasiosikia la mtu, wao atakaye jichanganya ni kipigo tuu Baada ya Israel kuidhibiti kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajifunza nini kwa yanayoendelea Israel na Gaza?

    - Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni ajira tu wakati kuna opportunities nyingi sana kwenye elimu unayopata peke yake. - Ni tuseme kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Palestina na Israel wapigana Canada

    Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko la kutovumiliwa kwa hali hiyo. Hii imekuja wakati waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria. Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
  8. JamiiForums Tanzania Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana unaofanywa maksudi na media na sijui kwanini. Mfano mpaka sahivi hamas amesharusha makombora zaid ya 1000+ Israel lakin kinachowasaidia Israel ni kuwepo kwa mfumo wa iron dome defense system. Hamas anaporusha Yale makombora yake achagui, tofauti na Israeli...
  9. JamiiForums Tanzania Anadolu Agency yatoa Ofisi zake za Gaza kwa Al Jazeera na AP

    Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press (AP) baada ya ofisi zao kuharibiwa na shambulio la kombora la Israel siku ya Jumamosi...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza mgogoro wa Israel na Palestine?

    KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa wakiwamo watoto 47? Nini kifanyike kumaliza mzozo huu? Nani wa kulaumiwa? Nini nafasi ya jamii ya...
  11. JamiiForums Tanzania Israel siyo taifa teule

    ISRAEL SIO TAIFA TEULE Natumaini mu wazima wote. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni taifa teule na atakayeilaani Israel naye atalaaniwa pia atakaeibariki naye atabarikiwa. Ila kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo: Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Israel na Palestina, ni mgogoro unaotokana na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa

    Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya kidini pia mgogoro huu unatazamwa kuwa umeanza miaka zaidi ya 1,000, kiuhalisia umeanza miaka ya 1910...
  14. JamiiForums Tanzania Israel is committing War Crimes

    Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza. They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the Palestinian people. Share this and show the truth!
  15. JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  16. JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Inakuwaje wanajamvi! Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike. Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani...
  18. JamiiForums Tanzania Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

    Nilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina. Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General) Kwa nin iko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania "The Iron Dome" Kama Taifa tunajifunza nini kwenye Teknolojia hii ya Israel?

    Haujambo Mwana Jamvi, Heri na hongera sana kwa sikukuu ya Eid-Al-fitr. Kwa niaba yangu binafsi nakutakia sherehe njema, ikawe heri na amani kwa upande wako. Eid Mubarak!!!! Mwaka 2006 viliibuka vita kati ya Israel na Lebanon. Lebanon ( Hezborah) ilivurumisha maelfu ya makombora katika anga ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…