Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Maafisa wa usalama wa Israel wasibitisha kuwakamata wafungwa wa 4 kati ya 6 hatari wa wanamgambo wa kipalestina waliotoroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Gilboa.

20210907_070852.jpg
_120439675_d8689248-f57b-480c-bd49-5c45d889a493.jpg
 

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,145
2,000
Labda jamaa walikuwa wanawasaka kiDNA maana hiyo haiongopi
Lakini sasa mbona umekuwa muda mfupi sana hata wiki haijaisha!!Ki ukweli nimeshangaa sana!!kwani daa kwa ujasiri uliotumika, halafu unakuja kukamatwa tena kizembe hivyo, tena makamanda wazima!!
 

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
Palestina yenye km 6020 unategemea wasiwakamate!!! alafu ukizingatia hawako huru,, so watashindwaje kuwakamata!!!!!
Nikweli mazingira ni magumu kwa kujificha kwa watoro, kutokana Gereza la Gilboa lipo eneo la makazi ya WAYAHUDI kufika ukanda wa Gaza ni mbali na kunauwezekano hata hao wawili kuingia mikononi mwa police wa Israel.
Gilboa-prison-break-3.jpg
 

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
774
1,000
unaweza kuthibitisha hili unalosema??
Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
 

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,565
2,000
Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Thibitisha huu ukolo wako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom