israel

  1. JamiiForums Tanzania Urusi imeishika pabaya Israel kuhusiana na Unazi

    Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kumezuka mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.Moja ya hilo ni kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi kuwa Hitler alikuwa ni myahudi. Israel imekuwa daima ikiomboleza kuuliwa kwa wayahudi katika vita vikuu vya pili vya dunia kwa watu wao...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Why? Is it because of Israel?

    Israel hasn’t faced an actual existential threat in well over forty years. They literally have nuclear weapons. The idea that they are somehow going to be destroyed if they aren’t brutal enough ie laughable. It certainly isn’t an excuse for committing war crimes. Yes, he is, and yes, he’s...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

    Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

    Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda. Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa. Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
  6. JamiiForums Tanzania Israel: Watano wameuawa katika shambulio la risasi katika mji Bnei Brak

    Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv. Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni. Siku mbili zilizopita, maafisa wawili wa polisi waliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Hadera. Wiki moja kabla, watu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Four Arab nations, US complete Israel summit

    28 March 2022 SDE BOKER, Israel Video courtesy of Al Jazeera The talks centered on shared concerns, particularly over Iran, and on food shortages brought on by the war in Ukraine, which are being felt in Egypt and Morocco, two of the attendees. At a groundbreaking summit in Israel on Monday...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yaionya Israel baada ya kuwaua maafisa 3 wa Mossad

    IRGC warns Israel after missile strike on Mossad bases in Erbil Sunday, 13 March 2022 10:54 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:55 AM ] Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has issued a stern warning to Israel following a retaliatory missile strike on the "strategic center of...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nchini Israel kesi siyo lazima ifike mwisho Jaji anaweza kufanya maamuzi katikati ya kesi ili kuokoa muda, Tanzania tujitahidi tufike huko!

    Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa. Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi "uliokwisha" tolewa unatosha kujenga...
  12. JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Syria kujibu mashambulizi ya anga

    Jeshi la Israel limesema lilishambulia betri za makombora nchini Syria baada ya kombora la kutungulia ndege kurushwa kuelekea Israel wakati ambapo televisheni ya taifa ya Syria iliripoti kuwa ni shambulio la awali karibu na Damascus Shirika la Reuters linaripoti . Msemaji wa jeshi alikataa...
  13. JamiiForums Tanzania HOJA: Kwanini Wakristo wanajinasibisha/wanajipendekeza kwa Israel

    Thread was deleted
  14. JamiiForums Tanzania Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba tu kuuliza japokuwa najua kufuatilia mambo ya watu sio mchongo wala nini. Huwa naona vibendera vya taifa la Israel kwenye magari ya watu ambao naamini kabisa ni Wabongo wenzetu. Sasa wakuu naomba tu kuuliza what is the motive behind this? kunakuwa na affiliation...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

    Mungu wa biblia, Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima! Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yatoa msaada wa gesi kwa Lebanon kwa siri kupitia Jordan

    Israel said to secretly ink unprecedented deal to supply gas to Lebanon, via Jordan Israel has signed an agreement to indirectly pump natural gas to Lebanon to aid the crisis-hit nation, an unsourced television report claimed on Saturday. Channel 12 news reported that the...
  17. JamiiForums Tanzania Iran imewaua makamanda wawili wa Israel mwezi huu

    Mwaka umeanza kwa Iran kuwaua makamanda watatu wa Israel. Hatimaye Iran yafanya mauaji ya makamanda wa juu wa jeshi la Israel na Marekani kimya kimya kwa kulipa kisasi cha Major General Qasem Solaiman. Ajali hiyo ilitokea ya Helcopter huko Israel na iran imetangaza kuhusika na mauaji hayo na...
  18. JamiiForums Tanzania Iran: Tutazinyuka kambi zote za Israel na nchi yoyote itakayomsaidia

    SHAMBULIO LOLOTE DHIDI YA IRAN, ITAJIBIWA BILA KUSITA KWA NGUVU ZOTE Iran imesema kwamba, italipa kisasi kwa shambulio lolote litakalofanywa na Israel dhidi ya Iran. Commander wa jeshi la Iran alisema hivyo kupitia chombo cha habari cha Iran inayohusiana na ulinzi wa nchi hiyo. "Kama Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Israel: Waziri wa Ulinzi Benny Gantz aiambia Israel ijiandae kwa vita dhidi ya Iran

    Benny Gantz Waziri wa ulinzi wa Israel ametoa maelekezo ya kuishambulia Iran hivi leo mara baada ya kupewa ruksa ya kuichapa Iran. Waziri huyo wa ulinzi ameshalielekeza jeshi la anga jinsi ya kuipiga Iran bila kukosea target. Pia majuzi Iran imesambaza wanajeshi wake mashariki ya kati kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Israel yashambulia ngome ya Iran huko Syria

    Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa! Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses. -------- Syria’s state media quoted an unnamed military official as saying that several missiles...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…