Iran yaionya Israel baada ya kuwaua maafisa 3 wa Mossad

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
IRGC warns Israel after missile strike on Mossad bases in Erbil

Sunday, 13 March 2022 10:54 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:55 AM ]

Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has issued a stern warning to Israel following a retaliatory missile strike on the "strategic center of Zionist conspiracy and evil" in the northern Iraqi Kurdistan city of Erbil.

In a statement issued Sunday, the IRGC indicated that the operation was in response to an Israeli airstrike on the Syrian capital of Damascus last Monday, in which two IRGC officers were killed.

"Following the recent crimes of the fake Zionist regime and the previous announcement that the crimes and evils of this infamous regime will not go unanswered, the strategic center for conspiracy and evil of the Zionists was targeted by powerful and pinpoint missiles of the Islamic Revolution Guards Corps," it said.

Scores of ballistic missiles hit secret Mossad bases in Erbil, reportedly leaving several Israeli operatives dead.

Ballistic missiles hit Mossad bases in Iraq’s Erbil, kill Israeli officers: Iraqi media

Iraqi media and military sources say scores of ballistic missiles have hit bases belonging to Israel’s Mossad spy agency in Iraq’s semi-autonomous Kurdistan region, killing a number of Mossad officers, according to reports.

Citing security sources, Iraq’s Sabereen News reported that two Mossad training centers were targeted by ballistic missiles in the early hours of Sunday.

Al-Mayadeen said a Mossad base on the Masif-Saladin street in Erbil was “fully razed to the ground and a number of Israeli mercenaries were killed or injured”.

"Once again, we warn the criminal Zionist regime that the repetition of any evil will face harsh, decisive and destructive responses," the IRGC statement said.

"We also assure the great nation of Iran that the security and peace of the Islamic homeland is the red line of the armed forces of the Islamic Republic of Iran and they will not allow anyone to threaten or attack it."
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nawashangaa Mossad ujasiri upi huo hadi walikua na training bases Iraq.

Hata hivyo hii dunia tumetishana sana, inapaswa kinuke tujue moja, bonyezeni manyuklia yapishane angani wa kubaki abaki na wa kujifia ajifie.
Putin kule Ukraine amekwama kuteka Kiev mpaka anatishia kuachia manyuklia, yule dogo wa Korea Kaskazini naye kila siku analipua lipua madude milimani na baharini, anawashwa sana, huku Iran na Israel ni mwendo wa kutunishiana misuli.

Imefikia wakati kieleweke.....
 
Nakuunga mkono Kwanza waeza kuta hata hayana madhara huku mbali mikwara Tu eti dunia itaisha
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nawashangaa Mossad ujasiri upi huo hadi walikua na training bases Iraq.

Hata hivyo hii dunia tumetishana sana, inapaswa kinuke tujue moja, bonyezeni manyuklia yapishane angani wa kubaki abaki na wa kujifia ajifie.
Putin kule Ukraine amekwama kuteka Kiev mpaka anatishia kuachia manyuklia, yule dogo wa Korea Kaskazini naye kila siku analipua lipua madude milimani na baharini, anawashwa sana, huku Iran na Israel ni mwendo wa kutunishiana misuli.

Imefikia wakati kieleweke.....
Korea Kusini wamepata raisi mpya, hatua kasema ni kuongeza air defense systems kutoka US. Pia katoa onyo kali kuwa hatasida kufanya mashambulizi ndani ya Korea Kaskazini pale ambapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Korea Kusini. Pia kaahidi kuboresha mahusiano na Japan. Huyo hana uoga uoga kama yule mtangulizi wake, hapa vitaenda kuumana muda si mrefu.
 
Mmeyachoka marinda yenu ...bwana zenu wanaogopa kipigo ....hamuwezi kufanya kitu hadi bwabwa mkuu wa dunia awaamrishe
 
Korea Kusini wamepata raisi mpya, hatua kasema ni kuongeza air defense systems kutoka US. Pia katoa onyo kali kuwa hatasida kufanya mashambulizi ndani ya Korea Kaskazini pale ambapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Korea Kusini. Pia kaahidi kuboresha mahusiano na Japan. Huyo hana uoga uoga kama yule mtangulizi wake, hapa vitaenda kuumana muda si mrefu.

Safi sana, huyo dogo wa Kaskazini wamemdekeza sana, nimependa hapo Kusini wamepata chizi asiye na muda wa kubembeleza bembeleza.
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nawashangaa Mossad ujasiri upi huo hadi walikua na training bases Iraq.

Hata hivyo hii dunia tumetishana sana, inapaswa kinuke tujue moja, bonyezeni manyuklia yapishane angani wa kubaki abaki na wa kujifia ajifie.
Putin kule Ukraine amekwama kuteka Kiev mpaka anatishia kuachia manyuklia, yule dogo wa Korea Kaskazini naye kila siku analipua lipua madude milimani na baharini, anawashwa sana, huku Iran na Israel ni mwendo wa kutunishiana misuli.

Imefikia wakati kieleweke.....
Kama mbwai iwe mbwai 🤪
 
Hata hivyo hii dunia tumetishana sana, inapaswa kinuke tujue moja, bonyezeni manyuklia yapishane angani wa kubaki abaki na wa kujifia ajifie.
Hii hali yako ya desperation usidhani sisi sote tupo kama wewe, kama unapenda kufa kufa peke yako, nenda kanywe sumu peke yako.

Wewe unajua athari za nuclear weapons (thermonuclear bombs/Hydrogen bombs)??-- hapa sizungumzii mfano wa atomic bombs zilizopigwa Japan, silaha za nuclear za siku hizi ni thermonuclear na sio "atomic".
 
Back
Top Bottom