israel

  1. JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
  2. JamiiForums Tanzania Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

    ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka. Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji vimebaki kulialia. Allah naye kala kona na kuzama chaka. Safi sana Benjamin Netanyau. Settle the...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Huku Russia vs Ukraine, kule Israel vs Palestina

    Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa. Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa aliyeitikisa Dunia na Marekani kwa mapigo yake na akili yake ya kipekee ambae kwa karne hii hakuna mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

    Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu. Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu. Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupigwa na kubaguliwa kwa kuitetea Israel

    Mzuka Wanajamvi! Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.
  10. JamiiForums Tanzania Netanyahu aapa kujenga Ukuta Jordan kuzuia Wahamiaji wa Kiafrika, waliopo kuondolewa Israel

    Licha ya kujipendekeza kwenye dini za Wazungu/Waisrael (Christian) na Waarabu (Islam) Bado mtu Mweusi anakataliwa Kila mahala. Ikumbukwe Morocco na Tunisia zilisema zitawatimua Watu Weusi wote na Kuzuia kuingia Nchini humo. Huko Ulaya maelfu hufa maji na huachwa waozee huko na Wazungu...
  11. JamiiForums Tanzania Israel ina kiherehere sana mpaka inatia aibu

    Mnamo taehe 29 Agosti ndege ya abiria ya Sychelles ikiwa na abiria 128 ilipata matatizo ya kiufundi ikiwa angani eneo la Saudi Arabi. Ndani ya ndege hiyo kulikuwa na abiria watalii wa kiyahudi wakiwemo maofisa wa serikali waliokuwa likizo. Ndege ilipofika uwanjani abiria wote wakapatiwa huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Jasusi wa Iran adakwa Israel

    Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  15. JamiiForums Tanzania Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran. Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria. Updates Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  17. JamiiForums Tanzania Waarabu sasa ndio wananunua silaha nyingi kutoka Israel

    Jameni Waswahili mlioaminishwa na mwarabu kuichukia Israel, tambueni hali imebadilika kule, mwarabu amesalimu amri, ananunua silaha kutoka Israel tena kwa gharama kubwa sana. ============ Israeli defence exports hit an all-time high of $12.5 billion last year, with Arab countries that recently...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

    Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano. Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
  20. JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa kundi wa Islamic Jihad huko Gaza

    Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza. Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo la makazi la Hamad , karibu na Khan Younis kusini mwa eneo hilo. Siku ya Jumatano wanamgambo huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…