israel

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Raisi Isaac Hezrog wa Israel amethibitisha kuwa nchi hiyo haijawahi kupata kipigo na madhara tangu vita vya Yom Kipur isipokuwa mwaka huu wakati wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Katika kumfafanua waziri mkuu huyo, Hezrog amesema Netanyahu ameweza kuhimili misukosuko mingi katika kipindi chake...
  2. JamiiForums Tanzania Kama mnadhani Palestina anaonewa, jikusanyeni mwende mkawasaidie

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nimalize kunywa Supu! Kuna ka-kikundi kameibuka hapa Tanzania hasahasa kwenye Mitandao ya Kijamii ambako bila kupepesa macho kameamua kuwatetea Hamas kwa mauaji waliyofanya huko Israel, ila hako hako Ka-Kikundi kameendelea kulaani mauaji yaliyofanywa na Israel kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  4. JamiiForums Tanzania Israel: Wanafunzi Watanzania wawili hawajulikani walipo

    Maafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina. Balozi wa Tanzania Nchini Israel, Alex Kallua amezungumza na BBC na kueleza kuwa Wanafunzi hao wamekuwa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaosema kwamba Israel ilipora ardhi ya Palestina Wapitie hapa, watu walirudi kwao kuishi kwenye ardhi ya babu zao iliyoporwa kimabavu

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  7. JamiiForums Tanzania Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

    SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas. VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel...
  8. JamiiForums Tanzania Israel haikushindwa kwenye ujasusi

    Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia. Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia kwenye mtego na huenda wakaangamizwa kabisa. Sasa itakuwa vigumu kuishutumu Israel kwa unyama unaoenda...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  11. JamiiForums Tanzania Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Wa/Mtanzania ni miongoni waliopata maafa ya hamas uko Israel

    Hatujui zaidi kuhusu kama wamekufa, kujeruhiwa au kutekwa ila kama kuna mtu mwenye kumjua au kuwajua watu hawa atupe updates.
  13. JamiiForums Tanzania Hamas tumieni mbinu hii kumshinda Israel

    Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio. Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi za jeshi na maneno yenye dhana za kijeshi ili kujiwekea uhalali wa kufanya mashambulizi. Kitendo cha...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaotaka kujua ukweli kuhusu mzozo wa Israel na Palestina na yupi ni mkaidi piteni hapa

    Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini. Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
  15. JamiiForums Tanzania Swali gumu kwetu wafia dini tunaoamini kwamba Israel inalindwa na Mungu

  16. JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  17. JamiiForums Tanzania FAHAMU: Teknolojia ya IRON DOME inayotumiwa na taifa la ISRAEL kutungua makombora angani

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Waliofariki kwenye mapigano ya Israel na Hamas wafikia 1,100

    Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Al Jazeera na Reuters wakiwemo Watoto zaidi ya 100. Pia, watu zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 123,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi hayo kati ya kundi la HAMAS na Jeshi la Israel. Aidha, takwimu zinaonesha kwa kipindi cha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio alikuwa anatakiwa kiingilia hii show ya israel na palestina sasa tujianda na WW3 soon.

    Habari zenu. Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!. Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata...
  20. JamiiForums Tanzania Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…