israel

  1. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Hamas ni kundi maalum la Israel lenye lengo la kutimiza Mipango ya Wazayuni hapo Palestina

    Kwema Wakuu! Kwa jinsi mambo yalivyo ninawasiwasi mkubwa kuwa Hamas sio vile wengi tujuavyo. Wengi tunajua Hamas ni kundi la kiharakati la kupigania haki za Wapalestina ikiwemo haki za kukataa Ukoloni wa Wayahudi katika Ardhi yao. Kwa nje inaonekana hivyo lakini ukichunguza ndani unaona kitu...
  2. JamiiForums Tanzania Israel Vs Tanzania

    Ukubwa(kilomita za mraba) Tanzania: 945,087 km² Vs Israe:22,145km² Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel. Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $) Tanzania:$85.42billion Vs Israel:$521.696billion Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania. Idadi ya watu(population) Tanzania: Watu million 61 Vs...
  3. JamiiForums Tanzania Israel yazidai Iron Dome zake ilizoziuza kwa US baada ya ilizonazo kuharibiwa na zilizobaki kuzidiwa nguvu

    Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha. Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda likainunua upya mitambo yake ya Iron dome iliyoiuzia au kuitoa kwa mshirika wake US. Hali hiyo si jambo...
  4. JamiiForums Tanzania Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

    Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo.................. Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli....... The Israel Defense Forces on Wednesday...
  5. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

    Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati. ========= Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuangalia tu na kutumia common sense, pale Middle East Israel siyo kwao

    Nimeona watu wengi wakitoa historia uchwala. Wengine wakijaribu kulazimisha kwa kuweka baadhi ya vifungu/ aya za kwenye bible. Tujiulize kwa akili ya kawaida tu, wazungu wamefikaje mshariki ya kati, watu wa mashariki ya kati wote ni Waarabu, imekuwaje mzungu ajikute katikati ya Waarabu. Jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Hamas kuwaachia mateka iwapo Israel watasitisha vita

    Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalumu na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), huku akiahidi kwamba kundi lake...
  10. JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Hii sasa ni aibu kwa Israel

    Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni kutaka kuwachukua Mateka wao. Israel ni nchi inayoelezwa kuwa inaongoza Ulimwenguni kwa kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

    Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo..... ================= Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Huku raia wakipigwa na Israel Mahmoud Abbas apiga picha na Blinken.Habari zilipovuja Blinken akakimbizwa mbio

    Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina. Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la IDF na walowezi kwa kila raia wa Palestina maeneo aliko Mahmoud Abbas wa PLO...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Obama aikosoa vikali Israel; aiambiia: Wewe ndiye sababu ya vita vya Ghaza na maafa ya Wapalestina

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa. Kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Safi Israel kwa kulipua matanki ya maji Gaza

    Mzuka wanajamvi. Hii habari ya Israel kulipua kituo kikuu uchwara cha maji Gaza nimeiopokea kwa furaha sana. Matenki uchwara ya kutosha yamelipuliwa. Haiwezekani magaidi yakaishi na kuendekeza anasa kwa kunywa maji safi na salama. Jana maambulance yalilipuliwa na mabomu. Magaidi yalikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchofu wa Israel na anguko la kiuchumi la US ndivyo vitakavyotoa ushindi kwa Hamas

    Kinachotokea Ukraine ndhicho kitakachoipata Israel mbele ya Hamas.Ukraine na Israel wote wanafanana kwa viwango vya kiburi vita vilipoanza. Ukraine alipoona uchumi wake ni mkubwa akaamua kuichokoza Urusi na vita vilipoanza na misaada ikaamiminika aliamini ataishinda Urusi na kujizolea sifa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hamas yaua zaidi ya wanajeshi 24 wa Israel ndani ya Gaza masaa 24 yaliyopita

    Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza. Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas huku wengine wakitekwa nyara. Hali hiyo imepelekea Leo hii kuanzia asubuhi Israel kushambulia misikiti...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka. “I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…