isis

  1. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  2. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea. --- Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check - KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  4. JamiiForums Tanzania RISE UP (AMKA) sehemu ya kwanza-01

    RISE UP ( AMKAA) sehemu ya kwanza *********************************** *********************************** Niliendelea kukimbia huku nikianguka na kusimama maana nilikuwa najikwaa kwenye mawe yaliyoijaza hii njia ndogo, giza nene lililotanda juu ya uso wa nchi lilikuwa ni kikwazo kikubwa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Athari za ugaidi ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya awali

    Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali. Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
  6. JamiiForums Tanzania ISIS Msumbiji kwisha habari yao

    Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and offensive. ISIS Msumbiji kwishney. Saguda47
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

    Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi hiyo bwana Phillip Mawer ambae ametekwa na kikundi cha kigaidi cha ISIS. Gazeti la The Times la...
  8. JamiiForums Tanzania ISIS Wameuteka Mji wa Palma Kaskazini mwa Msumbiji

    Habari ya hivi punde kutoka kituo cha televisheni cha France24, Mungu ibariki Msumbiji, Mungu ibariki Afrika.
  9. JamiiForums Tanzania In 3D there is no future no present only past

    Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it. Buddah said we are all here because we know...
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
  12. JamiiForums Tanzania Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

    Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
  13. JamiiForums Tanzania Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia. Rais George W. Bush akilianzisha Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi mpya wa ISIS anafanana sana na Mlinzi

    Mzuka wanajamvi! Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad. Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

    Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu. Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa. Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…