Kazi inaendelea ujenzi wa madarasa 15,000 nchi nzima unaendelea, leo mkoa wa Iringa wamepokea fedha kwa ajili ya ujenzi huo.
Haya ni matokeo ya kazi na usimamizi mzuri wa makusanyo ya Kodi za wananchi.
Bado Kuna ufufuaji wa viwanda unakuja, hivyo ajira pia zitaongezeka. Kwa Kasi hii naona...