iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  3. JamiiForums Tanzania Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  4. JamiiForums Tanzania Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

    Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi. Onyo hilo limetolewa na balozi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha za wanajeshi waliouawa Jordan na drone za magaidi wa Iran

    Mzuka wanajamvi. Hizi ndo picha za vijana wadogo waliouwawa Jordan na suicide drones za magaidi wa Iran. Wote ni watatu ni Black Americans. Picha za Kwanza ni Kennedy Ladon Sanders miaka 24 mwenyeji wa Jimbo la Georgia. Picha zingine hapa chini ni Broenna Moffets 23 Picha ya Tatu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Israel yaua maafisa wengine wa Iran Syria

    Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi. ======== Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
  7. JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  8. JamiiForums Tanzania Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  9. JamiiForums Tanzania Hasira za Pakistan na Iran ni kama za wagonjwa wa safura

    Kwa takriban miaka mitano sana makamanda wakubwa wa Iran na vituo muhimu vya kijeshi vya Iran vimekuwa vikishambuliwa na Israel ndani ya Syria na hata ndani ya Iran yenyewe. Mtekelezaji wa mashambulio hayo Iran amekuwa akimtaja bila kificho na mwenyewe (Israel) mara moja moja amekuwa akikiri...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kwamba humo kwa waliouawa na Israel, kunaye jenerali wa Iran

    Wanaendelea kuwahishwa kwa mabikira.... Generals among 5 IRGC commanders killed in alleged Israeli strike on Damascus A security source in a network of groups close to Syria's government and its ally Iran told Reuters the multi-story building was used by Iranian advisers supporting President...
  12. JamiiForums Tanzania IDF wasambaratisha jengo Damascus na kuua maafisa wa kijeshi wa Iran

    Kama kawa, Israel wanaendelea kuwahisha watu kwenda kwa mabikira.... An Iranian Islamic Revolutionary Guards Corps official was killed in an alleged Israeli airstrike on Damascus, the Reuters news agency reports, citing sources in the regional pro-Syria alliance. The source says the...
  13. JamiiForums Tanzania Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

    Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan. Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran. Source: Al Jazeera, Agence France-Presse Na muda sio mrefu...
  15. JamiiForums Tanzania Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

    Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan...
  16. JamiiForums Tanzania Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  18. JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya Iran huko Iraq yamuua mmoja kati ya matajiri wakubwa wa Iraq

    BREAKING; Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq. Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa. Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Iran attacked Mossad base in Erbil

    ERBIL, Kurdistan Region - Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) early Tuesday claimed responsibility for a massive ballistic missile attack on the Kurdistan Region’s capital of Erbil, claiming to have hit “spy headquarters” of anti-Iran groups in the Region. “In response to the recent...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

    Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…