malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,638
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu.
Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote.
Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.
Technolojia haidanganyanyi siku hizi.