iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

    Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa. Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases...
  2. D

    JamiiForums Tanzania If it happens that Israeli is defeated turned into ashes by Iran, what will happen to bible teachings? Will people still believe what is in?

    This is followed by what was claimed by the jews yester night that they bombed Iran while the fact is all missiles were destroyed by air defense system. Now, Iran is going to retaliate back and the impact will be severe. Will people still have a belief that bible implies words of God or words...
  3. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Iran waliouawa walikuwa sehemu ya kundi la kijeshi linalolinda mipaka

    Maafisa wawili wa Iran waliuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran; wote wawili walikuwa askari wa jeshi la Iran, sio Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC). Tofauti na IRGC, jeshi la Iran - linalojulikana kama Artesh - kwa ujumla haliogopi wala kuchukiwa na Wairan wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

    Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu. Source: Aljazeera English.
  6. JamiiForums Tanzania Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

    Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo! Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia...
  7. JamiiForums Tanzania Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

    Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu. Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Yoav Gallant asema baada ya kuipiga Iran dunia itaelewa mchakato wa maandalizi na mafunzo namna ulivofanywa na IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo: Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training By Emanuel Fabian Follow and Agencies Today, 5:19 pm Defense Minister Yoav Gallant on Wednesday told pilots and air crews at an airforce base...
  9. JamiiForums Tanzania Kuvuja Kwa Siri za Israel Kwa Iran; aje Aroane Tabatabai anahusika?

    Arianna Katatabai, mwanazuoni wa siasa na mtaalamu wa Iran, ameibua utata kuhusu tuhuma za kuwa "double agent" kwa sababu ya madai ya kushirikiana na kundi la ushawishi wa Iran. Madai hayo yalizushwa na vyombo vya habari vya mrengo wa kulia nchini Marekani, yakidai kwamba Katatabai amekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waisraeli 7 wakamatwa kwa kuitumikia Iran katika kupeleleza ngome za kijeshi za Israel

    Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti ya Israel zikiwo ngome za kijeshi. Waisraeli hao wanalalamikiwa kwa kutekeleza na kukamilisha...
  12. JamiiForums Tanzania Majasusi wa Iran ndani ya israel wadakwa

    Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran. Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa za watu mahsusi kwa ajili ya mauaji na kuzituma Iran kwa njia ya siri(code) waliyopewa na Iran NB...
  13. JamiiForums Tanzania IRAN TENA : Soka la Wanawake Iran yachezesha na Wanaume. Yaondolewa kwenye mashindano.

    Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani. Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu JF wanakuwa wabishi na wana leta imani. Haya ni mambo ya ustaarabu mdogo sana. Yaani wakienda...
  14. JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  15. JamiiForums Tanzania Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

    Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari...
  16. JamiiForums Tanzania Haya maelezo yanaonesha uimara wa Israel au udhaifu wa Iran?

    Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana. Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

    Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia ========= Iran Denies Involvement in Drone Attack on Netanyahu, Blames Hezbollah Days after Israel eliminated Hamas...
  18. JamiiForums Tanzania Esmail Qaani; Kamanda wa Majeshi ya Iran Ambaye Ametoweka, Yasemekana Alikuwa Mossad Agent

    Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda wa Vikosi vya Quds mnamo Januari 2020 baada ya kifo cha Qasem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa vikosi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon Asema Hezbollah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…