Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,656
48,433
Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone.

Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa kidevu hawakujibu sasa wanakamatwa na kufinywa mle mle.

====================

Two major gas pipelines in Iran were allegedly attacked by Israel this week, according to a Friday report by The New York Times, citing an IRGC-affiliated military strategist and two Western officials.

The two pipelines, which carry gas from Iran's south to their major cities such as Tehran, were hit in multiple locations simultaneously. The attack "knocked out about 15 percent of Iran’s natural daily gas production," the Times quoted energy experts as saying.

Alikuwepo kafiri mkubwa Makka kuliko hata kafiri weye na aliechukia uislam kwa nguvu lkn mwisho wa siku uislam umeenea hadi Ulaya ambao maelfu ya wazungu wanasilimu. Yeye huyo kafiri hivi sasa ashaoza
 
Umechanganyikiwa mkuu

Huo ukafiri unaoulinganisha na wa huyo wa makka na huyu anayeleta habari za nini kinaendelea duniani unaona uko sawa kweli mkuu

Punguza hasira na ujadili hoja ukiwa huna jaziba, utaendelea kufurahia habari zonazoletwa
 
Alikuwepo kafiri mkubwa Makka kuliko hata kafiri weye na aliechukia uislam kwa nguvu lkn mwisho wa siku uislam umeenea hadi Ulaya ambao maelfu ya wazungu wanasilimu. Yeye huyo kafiri hivi sasa ashaoza

hadithi za waarabu huko jangwani zimekunogesha sana, usingezijua kama waarabu wasingekuja kubaka wazee wetu Pwani na kuleta uislamu.
 
Mtalia sasa hivi ngoja iran yuko busy kuchukua arctactica huko ...Mkizidiwa mnaita watu magaidi🙄
😅😅
 
Waziri Mkuu Wa Israel Yule Jamaa Hajaribiwi.

Hii Sasa Hakuna Jiwe Litakalo Salia.
Sio jamaa,ni mzee ambae ameshaifaidi dunia,ameridhika na haoni kama kuna alichokikosa ama asichokijua ulimwenguni,anajua kwamba kwa umri wake hatua inayofuata ni "umauti" na bilashaka lengo lake ni kuweka rekodi itakayomsaidia kukumbukwa kwa miaka mingi kwenye historia ya ulimwengu mara baada ya kifo chake, kama wakumbukwavyo manabii na mitume au hata shetani na firauni haijalishi kwa maana hatakuwepo. Madhila na mateso ni kwawahanga wake ambao ndio kwanza wanaijua dunia na wanaham ya kuifaham zaidi na zaidi.
 
Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone.

Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa kidevu hawakujibu sasa wanakamatwa na kufinywa mle mle.

====================

Two major gas pipelines in Iran were allegedly attacked by Israel this week, according to a Friday report by The New York Times, citing an IRGC-affiliated military strategist and two Western officials.

The two pipelines, which carry gas from Iran's south to their major cities such as Tehran, were hit in multiple locations simultaneously. The attack "knocked out about 15 percent of Iran’s natural daily gas production," the Times quoted energy experts as saying.

Unalipenda sana taifa la mashoga na lenye laana....itapendeza ukihamia huko ukapakuliwe kisamvu.
 
Iran haijatangaza kushambuliwa kwa hilo bomba na Israel kwahiyo mpaka sasa hu nauchukulia kama uzushi wa mashabiki wa Israeli na marekani.
 
Back
Top Bottom