Vita inakuja sahivi wanahesabu masaa tu, huko Israel mahandaki yashafunguliwa Marekani wenyewe washaanza kuondia wanajeshi kwenye bases zao...Sidhani kama round hii itapita bila mtwangano kutokea
Kwa Sasa Mbwa kichaa ni lazima apewe majina yote mabaya mabaya ili Tumuue.
Tangu 2021 kumekua na Ongezeko kubwa sana la Meli zinazopeperusha Bendera ya Tanzania na ambazo Zina Usajili wa Tanzania kukamatwa ama
👉Zinasafirisha Mafuta ya Magendo ya Wa Iran yalowekewa vikwazo ili yaingie katika...
Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles.
https://youtu.be/YXakMdE7HBw?si=Q5Snggh94ExijJuF
Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ?
Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Ripoti za uwezekano wa mzozo kati ya Marekani na Iran zinazidi kuwa ngumu kuzipuuza.
Mrorongo wa ndege za Marekani tayari uko katika eneo hilo, na diplomasia inajitokeza chini ya kivuli cha kuzuia. Tehran inajenga upya silaha zake, inaunga mkono wawakilishi, na inaendelea kutoa wito wa...
Trump amesema kuwa ameshaacha WOSIA/maelekezo endapo Iran itafanikiwa kumuua.
Wosia huo unawaambia jeshi la Marekani nini cha kufanya baada ya kifo cha Trump!
Mikwara mingi kumbe dingi muoga, aaaagh!
---
President Trump said he's "left instructions" if Iran assassinates him "That would be a...
Hivi karibuni, wanawake watatu waliokuwa Waislamu walishiriki ushuhuda wao wa kipekee kupitia jukwaa la “I Found the Truth”, wakieleza jinsi walivyodai kukutana na Jesus Christ katika ndoto na maono ya kiroho. Ushuhuda wao unaeleza jinsi wanavyoamini kuwa Yesu anajifunua kwa Waislamu wengi...
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.
Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi
- Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani.
Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu.
Sasa muda wa kisasi ndio...
Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli...
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.