iran

  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tuombe aman huku Iran akiwa katulizwa Israel aendelee kuuwa waarabu wasio na hatia huko Palestine, waarabu wa Sudan nao waendelea kuchinjana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tunachokijua kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani, Al Udeid

    Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran yatoa Masharti, wakati Trump akidai kusitishwa kwa mapigano

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, ameweka ujumbe hivi karibuni kwenye mtandao wa X akisema kwamba ikiwa Israel itaacha "uchokozi usio halali" Iran "haina nia ya kuendelea kujibu". Araghchi alisema Israel lazima isitishe mapigano ifikapo 04:00 saa za eneo, ambayo imepita...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

    Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano. Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano." Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Israel kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran. Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

    Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa Malengo makuu yalikua ni matatu Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia Pili ni kuharibu kabisa makombora...
  7. Pearce

    JamiiForums Tanzania Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Iran wanatakiwa kuwa alert kwa hii Casefire mda wowote kiongozi mkuu anawindwa

    Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia. Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote. Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi wa nyuklia Iran aliyekua amejificha kwa wakwe zake, auawa na Israel

    Jamaa wanasakwa popote =========== Mwanasayansi mashuhuri wa nyuklia kutoka Iran ameuawa katika shambulio la anga la Israel, kwa mujibu wa televisheni ya taifa ya Iran, na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa wanasayansi wa nyuklia wa juu waliouawa katika mashambulizi ya Israel katika kipindi cha...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kikosi cha Basij, Iran auawa na mabomu ya ndege ya Israel

    Huyu naona ceasefire ingemnyima fursa ya mabikira, ashukiru... ========== Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulio la Israel lililotokea siku moja kabla lilimuua kamanda mwandamizi wa kikosi cha wanamgambo wa Basij, ambacho kinahusishwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

    Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia, Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  13. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

    Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Iran wamejitafutia matatizo

    Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama waifanyiavyo Israel, nilitegemea kuona al jazeera wanaishutumu siku nzima Iran kwa kurusha makombora katika anga yao.

    Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri. al jazeera ipo nchini qatar. Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran. Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
  17. MICHEWENI 2024

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania TRUMP Atangaza kusimamishwa kwa muda wa saa 12 vita Israel na Iran. - Baada ya Masaa sita yajayo war will stop

    Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afisa wa kijeshi wa Marekani amesema hakukuwa na athari kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar

    Hakukuwa na athari kwa kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar, Reuters iliripoti ikimnukuu afisa wa kijeshi wa Marekani. Afisa huyo alinukuliwa akisema hakuna shambulio la Iran lililogunduliwa katika kambi yoyote ya kijeshi ya Marekani isipokuwa Qatar. Soma Pia: Iran imerusha...
Back
Top Bottom