Iran kimenuka huko

Iran kimenuka huko

eli -DEFIANT- cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,785
Reaction score
30,077
20251230_104536.jpg





Tangu jana kuna maandamano ya kupinga mamlaka ya IR

Uchumi umekuwa mkali mnoo lakini zaidi manyanyaso ya agents wa ayatollah ni ya kiovu sana.

Its funny kwamba iran ina pesa ya kufadhili jihad na ugaidi middle east ila haina pesa ya kulisha waajemi
 
View attachment 3522730
Tangu jana kuna maandamano ya kupinga mamlaka ya IRGC.

Uchumi umekuwa mkali mnoo lakini zaidi manyanyaso ya agents wa ayatollah sio ya kiovu sana.

Its funny kwamba iran inapesa ya kufadhili jihad na ugaidi middle east ila haina pesa ya kulisha waajemi
Ayatollah atokee hadharani na awaulize ..."who are you"...?Watatulia Tu.
 
Back
Top Bottom