Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,235
Reaction score
13,588
Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba.

Kobazi wanajukumu gumu mbele yao,
1. Kuua watu kama Samia alivofanya
2. Kukubali kuaguka

View: https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597

View: https://x.com/ShayanX0/status/2009022030537216152

View: https://x.com/Savakzadeh/status/2009012756859768958

View: https://x.com/NiohBerg/status/2009024887927558515

View: https://x.com/NiohBerg/status/2009024095133049254

Narudia tena siku Bendera ya Tanganyika itakapoonekana mitaani itakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM
 
Si ianguke. Anguka nayo.
 
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.
 
Uislamu utapotea Kwa upumbavu wake na upumbavu wa waislamu duniani kote ndio sifa kuu na ukristo kwasababu unaongozwa na reasoning utapotezwa na tekkmolojia. Hivyo uislamu utaanza utaanza kupotea kabla ya ukristo na sababu ni moja tu uislamu unatumia mabavu na ujinga kujieneza. Miaka mia tu ijayo hakuna mtu ataamini akifia dini atapewa mabikira 72 huu ni uongo mkubwa unaoutafuna uislam Leo sembuse gen z ya Miaka mia ijayo.
 
Dini zinaweza kupotea ila Imani itaendelea tu kuwepo.
 
Uislamu utapotea Kwa upumbavu wake na upumbavu wa waislamu duniani kote ndio sifa kuu na ukristo kwasababu unaongozwa na reasoning utapotezwa na tekkmolojia. Hivyo uislamu utaanza utaanza kupotea kabla ya ukristo na sababu ni moja tu uislamu unatumia mabavu na ujinga kujieneza. Miaka mia tu ijayo hakuna mtu ataamini akifia dini atapewa mabikira 72 huu ni uongo mkubwa unaoutafuna uislam Leo sembuse gen z ya Miaka mia ijayo.
Ni kweli. Hata himaya za ugiriki na roma zilipotea hivyo sawa na ukristo utakavyopotea na baadaye ubepari kama ulivopotea ukomunisti.
 
Miaka Mia Mingi sana kutakuwa hamna dini kizazi cha wazee wa sasa kikiisha tu haitazidi 50yrs kuanzia sasa tena inaweza kuwa mapema zaidi. Huku Ulaya na Marekani ni baby boomers tu wanaamini hayo genzee hamna
 
Mashia sio Waislamu mtanganywa nyinyi mlokua hamjui
 
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.

Vipo kuhusu dini zingine kama shinto, buddhism, Sikhism na hinduism?
 
Mungu Wabariki watu wa Iran.

Hawa watu wako smart sana kichwani. Siku wakisitisha mabifu uchwara watafika mbali sana.

Yaani huyu shetani Ayatillah amewatesa sana Wairan. Kabka ya utawala wake wa kishetani, Iran ilikuwa mbele sana katika maendeleo, amani na uhuru wa watu. Ingeendelea vile, mpaka leo mataifa kama Saudia, UAE, yasingeikaribia. Lakini kutokana na ushetani wa Ayatollaj, lakini zaidi ya nusu ya Waran, hawawezi kupata hata milo miwili kwa siku.

Dunia iwasaidie Wairan kumalizia kazi walioianza wananchi wa Iran. Yaani siyo sahihi kabisa kwa jitu moja tu, Ayatollah kusababisha mateso ya mamilioni ya Wairan, sawa na hapa kwetu, mwanamke mmoja kusababisha mauaji ya maelfu ya watu. Dunia iamke ya wastaarabu iamke, haya mashetani yanayowatesa wanadamu katika mataifa mbalimbali, yaondolewe yote.
 
Imagine Syria na Iran waishi kama Uturuki bila kulazimishwa kuishi kwa kufuata mila za Muhammad!

Hilo eneo litakuwa bora sana
 
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.

Amka usije kujikojolea wewe.

Hiyo Demokrasia yenyewe itaondoka iuache Uislam kama vile ndugu yake ukomunisti ulivyochakazwa na kuporomoka.

Huo mtikiso anaoupata kafiri Khamenei na utawala wake usikudanganye ukadhani Uislam unakufa.

Uislam utabaki huku maadui zake wakipotea na habari zao zitabaki historia kama zilivyobaki historia habari ya maadui wa Uislam waliopita. Hata maadui wa Uislam wa zamani nao walikuwa na matarajio ya kiwendawazimu uliyonayo sasa hivi.

Upepo tofauti tofauti utakuja na kuondoka na kuuacha Uislam. Nadharia zitakuja na kuondoka na kuuacha Uislam.

Dini ya Allah itabaki mpaka itakapokuja Amri ya Allah.
 
Uislamu kwakuwa hauna demokrasia utapotea ndani ya Karne mbili zijazo kwasababu uislamu haubadiliki ni very conservative mbaya zaidi ndio unaongoza kutoa ma tyrant kitu ambacho ulimwengu huu na ujao haubikumbatii (udikteta na kukataa mabadiliko).uislamu utaanguka UTABAKI ukristo ambao unakubali heshima ya utu mabadiliko na demokrasia. Ila pia baada ya Miaka 300 ukristo utafutika nao kabisa na dunia haitakuwa na dini tena. Hivyo basi kifo Cha uislamu na ukristo vitatofautiana Kwa miaka 300! Karne tatu. Utaanza uislamu kufa na hatimaye ukristo hivyo dini zitaptea kabisa Miaka 600 ijayo toka Sasa na hapo ulimwengu utakuwa automated to the fullest Kuanzia reasoning mpaka death.
Ndg hilo la kuanguka kwa Utawala wa Kiayatollah wa Iran ilikuwa ni suala la muda tu, yaani lini muda ufike ianguke. Kulingana na Biblia, tusingefika ule mwisho wa Mfumo Huu wa Shetani Ibilisi huku kukiwa na Jamii fulani ya Binadamu ambao wako chini ya minyoro ya ukandamizaji wa serikali inayomtumikia shetani allah moja kwa moja. Katika hali hiyo Mungu wa Kweli asingekuwa na video vya kutekeleza hukumu ya haki kwa Wairan. Inatakiwa wawe huru kuamua endapo wanamchagua Mungu wa Biblia au shetani allah.
 
Back
Top Bottom