ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  3. JamiiForums Tanzania Ni nishati safi ipi ya kupikia ambayo Samia anasifiwa kuipambania na kufanikiwa?

    Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana? Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
  5. JamiiForums Tanzania Ni ipi dini ya kweli kama huku wanafungamana na huyu mungu wa wafu na mlinda makaburi

    Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu. Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili. a)Maana ya anubis. Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu ya Msingi kuachwa Lomalisa akaletwa Boka ilikuwa ni ipi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga! Tangu ligi ya NBC imeanza kiukweli binafsi hakuna mechi hata moja kutoka Kwa timu yangu ya Yanga iliyonishawishi na...
  7. JamiiForums Tanzania Ipi Microsoft Office for Android konki kwa bei nafuu?

    Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti
  8. JamiiForums Tanzania Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
  10. JamiiForums Tanzania SUBARU FORESTER 2014 vs MAZDA CX 5 2014 niende na ipi?

    Nataka kupiga chini Toyota naomba ushauri kati ya vyuma viwili hapo juu kwa vigezo vya Reliability performance Handling Longetivity Thanks
  11. JamiiForums Tanzania Toyota Mark X 2007 na Crown 👑 Athlete 2007 ipi yenye better fuel efficiency

    Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake? Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000. Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD...
  12. JamiiForums Tanzania Je ni tabia ipi unayo ambayo unapenda iigwe na jamii?

    Mimi napenda kunawa mikono kwa sabuni nikifika tu nyumbani kutoka kwenye mishemishe. Sijui ilianzia wapi ila it came automatically na imeshakuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe je?
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya solar nzuri zaidi kwa malipo ya awamu

    Habari wakuu Nahitaji solar panel na TV yake, inayofanywa malipo kwa awamu. Nyumba ya Vyumba vitatu piga 0713 039 875
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida zilizopatikana kwa kufanyika kwa Arusha Land Rover Festival 2024

    Ninajua faida ndogondogo zipo, kama biashara za Mahoteli nk. Lakini ningependa kujua ni ipi faida kubwa kwa Mkoa na Taifa kiujumla.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ina mzunguko mkubwa kwa maeneo ya uswahilini Dar kati ya hizi?

    Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au yenye kipato Cha kawaida kwa hapa Dar?
  16. JamiiForums Tanzania Ipi ni mashine bora na imara kwenye kuchomelea

    Habari wanaJamiiForums Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  18. JamiiForums Tanzania Condom ipi ni imara

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni mfanyabiashara wa duka la rejareja, naomba kuukiza condom gani ni nzuri na Zina utamu Sana niweke dukani kwangu na zitapendwa na wateja na Zina utamu Sana
  19. JamiiForums Tanzania Nchi yako ya ndoto unayotamani kwenda ni ipi?

    Ni nchi gani kati ya hizi unazotamani sana kwenda kutembea au kuishi ungekuwa na uwezo?
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya kuweza kubalance klachi kubadili gia kwenye gari za manual

    Ni kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia. nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto wakati nabadili gia, gari inaruka ruka. Tupeane ujuzi na tips
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…