iphone

  1. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  3. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Eti Xiaomi nae anamvimbia iPhone hizi ni dharau kaonesha utovu wa nidhamu

  4. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
  6. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania iPhone 16 zimetoka muda wa kuumia tena umefika

    Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
  7. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

    Wakuu, Nipeni msaada
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

    Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September! Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16. Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
  9. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Jipatie iPhone 15 Pro max high copy tsh 300000 tu

    Karibuni wateja jipatie iphone 15 pro max high copy kwa tsh 300000 tu Nipo Kariakoo Uhuru Plaza ghorofa ya kwanza mkoani nakutumia watu wadar njoo dukani Simu zimebaki mbili tu
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama iPhone wameruhusu copy za iPhone kutengenezwa wanakosea sana

    Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini. Bora zingepigwa marufuku Tanzania. Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi? Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine. Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Iphone haijafunguliwa kwenye box lake.

    Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
  12. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  13. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Iphone latest za mtumba uwezo na bei zake.

    Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu. Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea. Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake. N.B hizi simu hata kama watu...
  14. Candela

    JamiiForums Tanzania Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung

    Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung. Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone. Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao. Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
  15. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Samsung na iPhone nani mkali?

    Salamu. Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
  16. Traveller TM

    JamiiForums Tanzania Delivery report On Iphone

    Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui. Naombeni uzoefu wenu jamani.
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ni iPhon Xs Max, inashindwa kuinstall hii new update

    Simu yangu ni IPHONE Xs Max Storage 64 Lakini nashindwa kuinstall hii new update New update ni IOS 17.5.1 Uki install inaleta Error Shida ni nini?
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania We are not men if we get defeated by country ruled by women ~Balotel

    Hii ilikua ni kauli ya balotel nchini Ujeruman
Back
Top Bottom