Wakati wa kuzindua iPhone 18 series itatoka na iPhone Fold. Ni iPhone ya kukunja ya kwanza kutoka Apple.
Base model ya 256 GB itakua $1,999 wakati ya juu ya 1TB itakua $2,400.
Hapo bado ushuru, na faida za wenye maduka.
Kazi ipo.
Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo...
Nauza iPhone 12 plain 128gb simu haina mchubuko wala mkwaruzo.
*Network;5g
Water proof; Ina IP68 dust tight and *water resistance haingii maji unaweza kumpigia video call mkeo ukiwa ndani ya maji.
*Display;super retina xdr oled,hdr10 Dolby vision Ina uwezo wa kukontroo mwanga kioo hakiumizi...
Maoni yenu wakuu.
Zote ziwe 512GB.
ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia.
Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja.
Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia.
Asanteni.
Maisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo.
Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea.
Baadhi ya wadau wameanza kulalamika kuwa iPhone zinarudi kwenye muundo wa simu za android...
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂.
Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji.
Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma.
Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake...
Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida.
Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3.
Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
Tulikotoka ilikuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kununua hata iphone za milioni 3 huku wengi wakikimbilia refurbished
Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko lauhakika
Hali ya sasa imebadilika, mzigo upo wa kutosha, watu hawaoni shida kununua iphone 17...
Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
Kuna wadada wamejaaliwa utamu na kipaji cha mahaba kitandani.
Cha msingi usimtongoze kizembe, wewe ni mwanaume, mtafutaji, mnunulie iPhone 16 pro max na saa yata ya laki 5 tu, utanishukuru.
Yani unapewa kwa moyo wote na hapo ndio utaona utam wa mwanamke.
October tunatiki kumuunga mkono mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.