interview

An interview is essentially a structured conversation where one participant asks questions, and the other provides answers. In common parlance, the word "interview" refers to a one-on-one conversation between an interviewer and an interviewee. The interviewer asks questions to which the interviewee responds, usually providing information. That information may be used or provided to other audiences immediately or later. This feature is common to many types of interviews – a job interview or interview with a witness to an event may have no other audience present at the time, but the answers will be later provided to others in the employment or investigative process. An interview may also transfer information in both directions.
Interviews usually take place face-to-face and in person but the parties may instead be separated geographically, as in videoconferencing or telephone interviews. Interviews almost always involve spoken conversation between two or more parties. In some instances a "conversation" can happen between two persons who type their questions and answers.
Interviews can be unstructured, free-wheeling and open-ended conversations without predetermined plan or prearranged questions. One form of unstructured interview is a focused interview in which the interviewer consciously and consistently guides the conversation so that the interviewee's responses do not stray from the main research topic or idea. Interviews can also be highly structured conversations in which specific questions occur in a specified order. They can follow diverse formats; for example, in a ladder interview, a respondent's answers typically guide subsequent interviews, with the object being to explore a respondent's subconscious motives. Typically the interviewer has some way of recording the information that is gleaned from the interviewee, often by keeping notes with a pencil and paper, or with a video or audio recorder. Interviews usually have a limited duration, with a beginning and an ending.
The traditional two-person interview format, sometimes called a one-on-one interview, permits direct questions and follow-ups, which enables an interviewer to better gauge the accuracy and relevance of responses. It is a flexible arrangement in the sense that subsequent questions can be tailored to clarify earlier answers. Further, it eliminates possible distortion due to other parties being present.
Face to face interviewing helps both parties to interact and form a connection, and understand the other. Further, face to face interview sessions can be more enjoyable.

View More On Wikipedia.org
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rufaa kwa ambao hawakuitwa written interview ya TRA March 2025

    Habari Wadau, Naomba kuuliza kwa wale ambao hawakuitwa kwenye written interview ya TRA na wakawasilisha malalamiko yao,Je walijibiwa?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

    Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla. Kipi umejifunza kuhusu hayati Magufuli na familia yake kupitia hii interview? Binafsi kwa mara ya kwanza nimejua...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  7. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Wanahisabati toeni utata wa alama za ufaulu, majibu ya interview ya TRA

    Napata mkanganyiko kuelewa juu ya alama za matokeo ya majibu ya interview ya TRA. Majibu yaliyotoka tarehe 26.04.2025 1. Hapa nitazungumzia paper ya academic officer na warden ambazo zilikuwa na jumla ya maswali 40 na mgawanyo wa alama ni 2.5 kwa kila swali kufanya junla ya 100 katika mtihani...
  8. Trinity

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada maswali ya interview za polisi

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Kesho kutwa Kuna interview ya polisi naomba mwenye uzoefu ili bwana mdogo akajaribu bahati yake. Natanguliza shukrani zangu za dhati.!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Imagine mtoto anatoka Kagera, Songea kuja Arusha kwenye interview unamwambia huna original birth certificate wakati ana certified

    1. Mnawatangazia kuwa kama huna chati cha kuzaliwa original, leta affidaviti ku confirm your names. 2. Kama academic certificte imepotea na una copy certified leta hivyo na court affidavit Watoto leo wameitwa Arusha wamerudishwa kwa masomo hayo mawili wengine wakati mliwatangazia wazi wazi kuwa...
  10. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Mtu wa IT anahitajika haraka

    Habari zenu wadau. Kuna nafasi mbili za watu wa IT wanahitajika haraka. Sifa: Wenye Bachelor au Diploma ya IT na uzoefu angalau mwaka mmoja. Nicheki WhatsApp namba: 0683535699
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie interview questions upande wa System Admin na Netwrking

    Wakuu, Kwa wale mliopo makazini, hasa upande wa system admin and networking, naombeni interview questions based on the real world scenario and application. Kama unaweza kunisaidia na practical questions, hasa zile most tasks za ofisini, naomba mnisaidie wakuu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  14. prync

    JamiiForums Tanzania Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  15. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jinsi nilivyo handsome, nikienda Oral interview watanikubali tu

    Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali. Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
  16. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

    Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi. Kaeni karibu na simu zenu. Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  18. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Interview TRA Risk Officer

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kufanya interview ya Risk Officer TRA, naombeni techniques na formula jinsi maswali yanavyotolewa na jinsi ya kupita hyo interview 🙏🙏🙏
  19. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TBS wanaita lini interview?

    Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
Back
Top Bottom