interview

An interview is essentially a structured conversation where one participant asks questions, and the other provides answers. In common parlance, the word "interview" refers to a one-on-one conversation between an interviewer and an interviewee. The interviewer asks questions to which the interviewee responds, usually providing information. That information may be used or provided to other audiences immediately or later. This feature is common to many types of interviews – a job interview or interview with a witness to an event may have no other audience present at the time, but the answers will be later provided to others in the employment or investigative process. An interview may also transfer information in both directions.
Interviews usually take place face-to-face and in person but the parties may instead be separated geographically, as in videoconferencing or telephone interviews. Interviews almost always involve spoken conversation between two or more parties. In some instances a "conversation" can happen between two persons who type their questions and answers.
Interviews can be unstructured, free-wheeling and open-ended conversations without predetermined plan or prearranged questions. One form of unstructured interview is a focused interview in which the interviewer consciously and consistently guides the conversation so that the interviewee's responses do not stray from the main research topic or idea. Interviews can also be highly structured conversations in which specific questions occur in a specified order. They can follow diverse formats; for example, in a ladder interview, a respondent's answers typically guide subsequent interviews, with the object being to explore a respondent's subconscious motives. Typically the interviewer has some way of recording the information that is gleaned from the interviewee, often by keeping notes with a pencil and paper, or with a video or audio recorder. Interviews usually have a limited duration, with a beginning and an ending.
The traditional two-person interview format, sometimes called a one-on-one interview, permits direct questions and follow-ups, which enables an interviewer to better gauge the accuracy and relevance of responses. It is a flexible arrangement in the sense that subsequent questions can be tailored to clarify earlier answers. Further, it eliminates possible distortion due to other parties being present.
Face to face interviewing helps both parties to interact and form a connection, and understand the other. Further, face to face interview sessions can be more enjoyable.

View More On Wikipedia.org
  1. Montania

    Tutorial Assistant in Accounting - Msaada Mwenye uelewa na maswali yanavyoulizwa kwenye Written & Oral interview

    Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
  2. Mejasoko

    Online writen interview za Utumishi wanatoa vipi maksi?

    Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi? Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na...
  3. K

    Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  4. Isenye

    TANROADS mkoa wa songwe wameanza kuita watu kwenye interview, kaeni karibu na viswanswadu vyenu.

    Ndugu zangu wapambanaji. Tanroads mkoa wa songwe,wameanza kuita watu kwa ajili ya written interview. Kwa tulioomba nafasi ya uhasibu interview itakua ni tarehe 31 May 2025,itafanyikia vwawa secondary school. Mkae karibu na simu zenu. Asanteni
  5. Isenye

    Hivi oral interview za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha?

    Hivi wakubwa Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
  6. R

    Pamoja na mchakato kuwapata wagombea wa IEBC kufanyiwa televised Interview, Wakenya hawaitaki, hawana Imani nayo kuwa Uteuzi wa Ruto uko biased

    1. Walitangaza nafasi, wakaomba watu.wengi , wakawa shortlisted??? 2. Wakafanyiwa Interview ya wazi, televised kila Mkenya anaona na kusikia 3. Wanampelekea Rais kati ya majina 5???? ateue mmoja Mweyekiti na commissioners wengine, bado wanasema ameteue kutoka kwao! SISI HAPA SAMIA ANATEUA...
  7. Munch wa Annabelle

    Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  8. Chongeni

    Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau. Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza...
  9. J

    Oral interview customs officer II nimekula za uso

    Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self, Ila...
  10. Umeyashenyeta

    naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
  11. K

    Mlioenda interview oral TRA tunaomba feedback

    How was it guys? Mimi yangu kesho kutwa. Do you have any tips
  12. K

    Tafadhari usimuhoji wala kumfanyia interview mwana Yanga yeyote. Wana hasira sana Kwa sasa

    Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview. Itakushangaza Majibu yake...! Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme Lolote kama Wanaitaka amani,hapo alikuwa anatoa maoni yake Kipindi Cha michezo Cha Usiku clouds...
  13. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
  14. Munch wa Annabelle

    Aliyewahi fanya interview TANROADS weighbridge officer naombeni msaada nijiandae wapi?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza Kwa wale ambao mshawahi kupitia katika interview za TANROADS katika nafas za weighbrige officer naomba msaada wenu nijiandae wapi na wapi Natanguliza shukurani.
  15. Munch wa Annabelle

    Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

    Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi. Mi yangu ni hayo tu
  16. Munch wa Annabelle

    Naomba nafasi za kazi zije sasa nikiingia tu oral interview

    Habari wapendwa hvi Kuna tetes Gani kuhusu kazi zinazohusisha HATA wenye vyeti vya ualimu maana nimejiandaa kwelkwel nifike oral tu kweny interview ya kazi yeyote harafu uko MBELE namuachia mganga wangu atajua awafanye nn watakao nisaili Ili nipate maksi nazozitaka mm sio wao. Mganga kasema...
  17. Isenye

    Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  18. M

    Majibu ya rufaa kwa ambao hawakuitwa written interview ya TRA March 2025

    Habari Wadau, Naomba kuuliza kwa wale ambao hawakuitwa kwenye written interview ya TRA na wakawasilisha malalamiko yao,Je walijibiwa?
  19. J

    Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

    Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
  20. Binti wa zamani

    Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla. Kipi umejifunza kuhusu hayati Magufuli na familia yake kupitia hii interview? Binafsi kwa mara ya kwanza nimejua...
Back
Top Bottom