internet

  1. JamiiForums Tanzania Anayekata internet anatumia akili gani?

    Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch. Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Watoa huduma za Internet, wanaona kile tunaperuzi ?

    Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea bila kufaham contents zipi ulifatilia?
  3. JamiiForums Tanzania Internet ya Voda kama iko slow sana kwa hizi siku mbili tatu

    Vipi wananzengoโ€ฆ Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ถ

    Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote. Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla. Hakikisha unazingatia mambo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Internet Download Manager Free Download

    Internet Download Manager 2025 Free License Key . Download Now: Click Download Now Button & Go-to Downloading Process - Pcwaredownload
  8. JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW ๐Ÿ™„๐Ÿ“ฑIna uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania na mfumo wa internet

    Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali. Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano wa Polepole na waandishi wa habari wasababisha Mitandao yote ya kijamii kuzimwa na mamlaka nchini Tanzania

    Hivi Polepole ana taarifa au siri gani za maovu ya watawala zinazowatetemesha kufikia hatua ya kuzima mawasiliana nchi nzima
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom inatoa internet device(router) burekwenye taasisi/ofisi yoyote ya serikali

    HABARI NJEMA KUTOKA VODACOM. VIFAA VYA INTERNET (ROUTER BURE) Ofisi za kijiji, kata, kitongoji, ofisi za wilayani Masijala office, procurement office,HR OFFICE Ofisi za afisa kilimo, lishe, biashara Shule zote , vyuo vyote vya serikali Mahakama, magereza. Police, jeshi. Zimamoto Hata kama...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa hatua za kufuata ili kufanya Biashara ya Internet

    Hivi karibuni nimepata wazo la kufanya Biashara ya Internet ISP akiwa TTCL kwenye maeneo ya Sokoni au Center zenye watu wengi kwa kuweka WiFi mteja atalipia kwa njia ya Vocha (number maalumu) mfano kwa Masaa 12 kwa Sh 1000 au 500 kwa masaa 6 n.k Hivyo ni hatua gani za Kufata kwa kuanzia na eneo...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote

    Natural satellite kama mwezi, titan, lo, mimas, europa n.k zina-zalisha wave ambazo zikitumika zinaweza kutumika kutumika kwenye mawasiliano na kama Internet Kabla ya hii humanoid project (hii ambayo tupo kwa sasa) wave zilizokuwa zinazalishwa na Natural satellite zilitumika kufacilitate...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Internet Download Manager Software - 20,000 Tsh

    Internet Download Manager Software (IDM) ya Windows OS - 20,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Tumeanza kuuza Internet nje ya nchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapaโ€ฆ

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  18. D

    JamiiForums Tanzania VODACOM Unlimited Internet kwa gharama ya TSh. 70,000/= 10Mbps speed

    Kwa watu wa zanzibar naunga unlimited internet ya Vodacom postpaid kwa gharama ya Tsh.70000 (elfu sabini tu) kasi yake ni 10Mbps (postpaid) Kwa mara ya kwanza utalipia Deposit 140000 hapa unapewa na device ya 5G au 4G na device unapata papo hapo ukilipia haina kusubili Kwa wale wa bara...
  19. JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

    Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ