internet

  1. African Countries By The Number of Internet Users 2022

    Nchi za Afrika kwa idadi ya watumiaji wa internet. Hizi takwimu zina maanisha nini?. Tanzania ipo nyuma tu ya Afrika Kusini na Nigeria kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara. Tanzania ina watumiaji wa internet millioni saba zaidi ya Kenya, Kenya haijawahi kuwa na internet penetration ya...
  2. L

    Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  3. Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  4. Hivi vifurushi ni ofa tu. Bei ya internet Tz kwa kutumia salio ni ipi?

    Eti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
  5. TANGA: Chuo cha Ualimu hakina huduma ya Internet

    Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo. Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
  6. Kwa waliowah tumia internet ya Net Solution

    Wakuu kwema... Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution... Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali, installation wanafanya kwa 300k na vifurush vinaanzia 88k unlimited kwa mwezi. Naomba kujua kama kuna mtu...
  7. Mitandao ya kijamii iwe BASIC NEED(INTERNET)

    Habari hapa jamani! Nimewaza aise nadhani imefika wakati sasa mitandao(internet) iwe moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kwasababu:- kuna muda mtu ukikosa bando mambo hayaendi kabisa that’s vivid ni kama kuna kuwa na kitu unakuwa umekosa 😅😅 same kama ukiwa umekosa kula vile na hivi ambavyo...
  8. Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara. Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni...
  9. M

    Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  10. Kenya Pipeline ventures into internet business, launches fibre optic cable

    The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya. The state corporation is conventionally mandated to transport petroleum products from the Mombasa port to the hinterlands in...
  11. Huduma za internet kwa ajili ya ofisi

    Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi. Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu! cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist Asanteni.
  12. Kenya unveiled a sixth submarine internet cable

    Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader bandwidth. The launch of the Pakistan and East Africa Connecting Europe (Peace) cable on Tuesday...
  13. NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  14. Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

    Hello bosses....... Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
  15. Sielewi model ya vifurushi vya internet vya mitandao ya simu

    Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti. Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi. Kwa mfano: Airtel unakuta 1500 unapata 1gb Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
  16. N

    Halotel kwisha kazi kwenye internet

    Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
  17. TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  18. Februari 8: Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama (Safer Internet Day)

    Siku ya Kimataifa ya Mitandao Salama inalenga kuongeza ufahamu wa masuala yanayojitokeza mtandaoni ili kuhamasisha mitandao salama na bora zaidi. Katika kuadhimisha Safer Internet Day, changamoto kama unyanyasaji mtandaoni na nyinginezo hupewa umuhimu kwani siku hii inalenga kuongeza ufahamu...
  19. TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  20. K

    Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…