internet

  1. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  2. L

    China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  3. S

    Serikali kuzuia internet na kumwaga askari mitaani ilihofia uwepo wa mwakilishi wa UN kuchunguza 29 Oct 2025 watu wangeandamana tena akiwapo nchini?

    Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha. Labda usichoelewa ni kwamba katika hizo siku, mwakilishi wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Onanga-Anyanga, alikuwapo nchini...
  4. M

    Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  5. M

    Kisa tu kutokuipenda Marekani au Israel au sababu za kidini, ni sawa kuisapoti serikali ya Iran iliyozima internet na kuua wananchi zaidi ya elf 30?

    Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata kusingiziwa ni raia wa kigeni kutoka Israel na Marekani, wakachukuliwa kama wahaini wa taifa, wakati wale...
  6. Kumfumaster97

    Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  7. youngkato

    Watumiaji wa Router za vodacom na tatizo la internet

    Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa. Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi. Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
  8. comrade_kipepe

    Ukitegemea sana internet utafeli

    Marafiki TINDER/FB/INSTA/TIKTOK USAFIRI ONLINE CHAKULA ONLINE NGUO ONLINE KILA SWALI GOOGLE andika naumivu
  9. H

    Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  10. Dogoli kinyamkela

    Dear Ugandans, welcome back to the internet. What happened while you were gone?

    Dear Ugandans, welcome back to the internet. What happened while you were gone?
  11. ELI COHEN

    Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  12. Genius Man

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi

    Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
  13. Mshamba wa kusini

    Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  14. Archival Sense

    Uganda is back on Internet

    As of January 18th 2026, public internet access was restored in Uganda. This follows the announcement of the incumbent president of the country, H.E Yoweri Kaguta Museveni Tibuhaburwa, as the winner of the recently concluded 2026 presidential election with a whooping 71.65%. Making this his...
  15. Bawabu wa pili

    Nchi zetu zinataka tutumie internet kuangalia games, mpira, pornography, movies na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa

    Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
  16. McLaren

    PostGE2025 President Samia to Diplomats: We apologize for Internet shutdowns and disruptions. It won't happen again

    President Samia Suluhu Hassan stated that in 2025, Tanzania held its seventh general election, which was highly successful, including achieving 44 percent female representation in parliament and being funded entirely with domestic resources. Despite these successes, President Samia also...
  17. Bawabu wa pili

    Kinachoendelea Uganda baada ya Internet kuzimwa kinaenda kufanana na kilichotokea Tanzania kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Soma pia: Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026
  18. Sifi Leo

    Bora Uganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi walizima pasipo kumwambia yeyote

    Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka. Waganda wamezimiwa huku wakiwa na taarifa lengo ni kuwa wasioneshe vijana waliojitokeza KUCHAGUA Bobi Wine bali watuoneshe mizee ambayo...
  19. Echolima1

    Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

    Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
  20. R

    Serikali ya Iran yazima Internet wakati maandamano yakiendelea, (Yaani kama yaliyotokea Malawi)

    Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai uhuru na kuondoka kwa utawala wa Kiislamu, licha ya onyo kali kutoka kwa viongozi wa vyombo vya usalama...
Back
Top Bottom