instagram

  1. JamiiForums Tanzania Niffer aanza kupost vocha sahihi Instagram, kwa akili ya kumpigia kula jihan miss grand international mtanzania

    Twende KAZI jamaa langu
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
  3. 3

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz afunga comments Instagram

    Mwanamuziki wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, 39, amefunga comments katika post zake nyingi kwenye ukurasa wake wa Instagram!. Hiyo inamaana kwamba, hakuna shabiki au mtu yeyote anayeweza kutoa maoni yake kwenye post zake hasa za hivi karibuni. Uamuzi huo umekuja baada Dudu Baya kumtuhumu Ommy...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  5. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Instagram Yaweka Wazi Penzi Zito la Irene Uwoya na Dominic Wa Room Of Jeans

    Mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Irene Uwoya, ameongeza msisimko kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha ishara za wazi za mahaba na Mkurugenzi wa duka la mavazi la Room of Jeans, Dominic Mmasi, kupitia sehemu ya maoni (comments) kwenye mtandao wa Instagram. Gumzo...
  6. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwapa dola chama kinachoendeshwa na rimoti za Instagram

    Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu. Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
  7. JamiiForums Tanzania Wadada wa instagram na Facebook.

    Ika pisi za kibongo bwana.. Unakuta kimeweka bio ya kumcha Mungu.. Una ki DM kina respond kwa kuchelewa makusudi kionekane kiko on demand. Then unakivumilia hivyo hivyo.. Basi nacho unaanza kuingia line, sasa ukiingiza maswala ya kupata mawasiliano na Whatsapp, Hapo ndo true colors...
  8. JamiiForums Tanzania Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa. Look what humble Messi posted on his IG page. Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya META inayomiliki WhatsApp, Facebook, Instagram, Threads, Messenger, inashirikiana na mamlaka za Serikali kukamata wahalifu

    Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii Mara kadhaa Kampuni hii imekuwa ikisaidia Mamlaka kukamata wahalifu wanaotumia njia ya mitandao ya Kijamii Ikiwa mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni AI au ni mtu halisi nimekua na mashaka sana, anaitwa africanafai Instagram halllooooo chombo mzeer

    Ni mwanamziki, inasemekana ni mkenya picha zake zinanichanganya sana, aseee chombo kweli mtoto Yuko stand, mpaka naogopa nahisi ni AI
  11. JamiiForums Tanzania Vin Jr, afuta post zake zote instagram

    Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026. Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na kuondoa 'pofile' picha pamoja na utambulisho wa Real Madrid.
  12. JamiiForums Tanzania Instagram services are down globally - July 22, 2026

    Instagram is currently experiencing a widespread global outage, with thousands of users reporting app failures, blank screens, and connectivity issues since earlier this afternoon. The disruption is primarily affecting the mobile app and server connectivity. Since Meta has not yet released an...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  14. JamiiForums Tanzania Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

    Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
  15. JamiiForums Tanzania Kipa wa Cabo Verde kaanza mechi dhini ya Spain akiwa na followers 50K Instagram, kamaliza na 2M!

    He deserve aisee. Na kama haitoshi kama the most rated player 8.5/10
  16. JamiiForums Tanzania Instagram na Facebook zipo chini, watumiaji walalamika kushindwa kupost content zao

    Wakuu, Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo. Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali duniani wameripoti kupata changamoto wakijaribu kupost maudhui yao au hata kuweka comment kwenye...
  17. G

    JamiiForums Tanzania WhatsApp inaenda kufanana na instagram

    Mwaka 2014 wakati bwana Zuckerbeg anainunua whatsapp kwa dola za kimarekani 19 B watu waliona kama ni uharibifu wa pesa. Haikuwa clear ni kwa namna gani hii app ya kuchat itaweza kuingiza pesa. Fast forward 12 years later, sasa iko wazi jamaa anataka kurudisha pesa zake. WhatsApp imeanza...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
  19. M

    JamiiForums Tanzania Meta kuanzisha Huduma za Kulipia (Subscriptions) Kwenye Instagram, Facebook, na WhatsApp, Mipango ya AI Yaja

    Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
  20. JamiiForums Tanzania Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

    Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda. Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…