injini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  2. Namichiga

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lini propaganda zitakoma kuwa ndio injini ya kuendesha siasa za Tanzania?

    Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na utaratibu wa kuongoza na kutawala nchi. Na genge hilo lina msambao kuanzia ngazi za juu kabisa za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Injini ya ndege ya United Airlines yalipuka angani

    20 February 2021 Denver, Colorado USA Ndege moja ya abiria ya shirika la ndege la United Airlines aina ya Boeing 777 mruko namba 328 toka kiwanja cha ndege cha mji wa Dever kwenda Honolulu injini yake moja ililipuka ikiwa angani kiasi cha futi 13,000 (ft) na kusambaza mabaki yake ktk kitongoji...
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Hatua za awali Injini Automatic Transmission ikikataa kuwaka!

    Juzi kuna mteja alituita kuwa gari yake aliipaki na kuingia kwenye supermarket kupata mahitaji yake. Ila baada ya kurudi kwenye gari haikuwaka kabisa, ingawa taa zilikuwa zinawaka, radio inafanya kazi wiper zinafanya kazi ila stator motor ilikuwa haigoti kabisa. Tukatuma fundi wetu kwenda...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kama Yalivyo Mafuta ya Total Kuongoza Kwa Ubora, Pia Vilainishi vya Total Vinaongoza Kwa Ubora, Vinadumisha Injini

    Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta na vilainishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, wamehimizwa kutumia vilainishi vyenye...
  6. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Taa yoyote nyekundu kwenye dashboard ya gari yako siyo ya kuipuuza

    Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kijani/Blue 2. Njano/Rangi ya machungwa 3. Nyekundu Namba moja ipo tu kwa ajili ya kukupa taarifa...
Back
Top Bottom