injini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapank

    JamiiForums Tanzania 2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  2. dubu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

    Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege! Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena. Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
  3. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Injini za Boti aina ya Mercury 40hp 2 stroke zinauzwa

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine ni ya carburetor na used kutoka Africa kusini. Engine bei ni...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina za injini za Ndege na matumizi yake

    Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana. Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa. Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini yanaeleweka na tunatumia kwenye vifaa na vyombo vyetu vya usafiri. Injini inayozungumziwa hapa ni injini...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini. Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Abiria ndani ya ndege ya Kampuni ya Precision, jana waliingiwa na hofu ya usalama wao baada ya injini moja kuzima ikiwa angani. Ndege hiyo yenye namba PW 467 ikitokea Kahama, ikielekea Dar es Salaam kupitia Mwanza, ilizima injini baada ya dakika 51 kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipigia magoti Canada irejeshe injini (ipo kwenye vikwazo) ya mitambo ya gesi ya Urusi Ujerumani, ili kuiokoa Ujerumani na uhaba wa gesi

    EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo. Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
  10. nnaleke3

    JamiiForums Tanzania Je hili ni tatizo kwa injini ya gari yangu?

    Habari za weekend wakubwa,,,moja kwa moja niende ktk mada hapo juu Mimi ni mgeni kidogo ktk kumiliki vyombo vya moto yaani gari,kwa hiyo ningeomba kujuzwa juu ya hali ninayoiona kila siku asubuhi pindi ninapowasha hiyo gari Natumia gari aina ya chaser GX100 ila kila siku asubuhi nikiwasha gari...
  11. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi Kwa injini za Boti

    Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines. Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

    Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu! Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege. Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine) 1.Air inlet Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya AU 2063 na miradi inayotekelezwa na China ya BRI ni injini ya ukuaji Afrika

    Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
  14. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fanyeni service za bodi na ndani ya mabasi siyo injini tu

    Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
  15. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Gari kutikisika Injini ikifikia speed 100Khr na kuendelea!

    Habari ya Majukumu Wakuu! Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini. Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake! Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  17. The ricco king

    JamiiForums Tanzania SoC01 Akili ya binadamu ndio muhimili mkubwa wa maendeleo yote

    Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
  18. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Ipi ni Injini Nzuri ya gari kati ya Petrol ama Diesel

    Wakuu Salaam. Naomba Kujua Faida za Injini ya Petrol pia za Diesel. Na Je, ni Injini ipi bora kati ya hiz mbili. Interms of Durability na Performance. Naombeni Michango yenu.
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Injini imegoma, mama anashauriwa anunue tu mpya

  20. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Picha: Sababu na madhara ya injini kuchemsha

    SABABU ZA INJINI KUCHEMSHA na MADHARA YAKE Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari. 1. Maji ya kawaida haswa yenye chumvi yasiyo na Coolant. Hii inaweza tengeneza kutu ambayo hua kama tope na mwisho kuziba njia za maji katika rejeta yako. 2. Kutofanya kazi kwa feni. Inawezasababishwa na...
Back
Top Bottom