infinix

  1. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  2. Dansel

    JamiiForums Tanzania Kioo Cha kamera ya nyuma Infinix Hot 11

    Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
  3. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Hot11 inauzwa

    Inauzwa 290000, Ina ram gb4 Rom gb128 Battery 6000mah Ant-theft alert Android 11 Finger print Simu ipo katika hali nzuri Simu ipo dar
  4. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza infinix HOT 10i 215,000

    Simu hiyo wazee haina kasoro wala mkwaruzo Ina GB 64 3--6GB RAM 720×1600 pixels 13 MP (1440p) Betri 6000mAh, inakaa na chaji muda mrefu mno 6.52
  5. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Memory gb32 Ram 4 Condition NEW kwenye box lake Zipo nyingi Karibuni Mikoan tunatuma kwa gharama zako Namba zipo hapo
  6. Dr wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Hot 7 for sale

    Specifications RAM 02 GB 16 Imetumika miezi 5 tu. Mawasiliano 0784312904 Bei Ni 120,000/=
  7. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Sheikh kutoa muda kwa aliyemuibia Simu infinix yake ya kisasa airejeshe vinginevyo!

  8. B

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu simu ya Infinix

    Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi. Sasa...
  9. Madame S

    JamiiForums Tanzania infinix smart 5 (x697)

    habari wanajukwaa naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
  10. Saa kumi na moja

    JamiiForums Tanzania Infinix naiona mbali miaka michache ijayo

    Angalia comparison hapo kati ya Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix smart 5 for sale, 165,000 at kimara kona Dsm

    Phone Details: Ram 2gb Rom 32gb colour: Dark blue ^haina mchubuko^ bei: 165,000 Piga simu 0713096076 Dar kimara corner
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix hot 8 kwa 160,000 only

    ram 2gb rom 32gb simu haina changamoto yoyote napatikana kariakoo Dsm sms 0625750755
  13. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  14. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

    Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

    Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera. 48 mega pixers 4GB Ram Memory 64 GB Battery yake 5000 Mah Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna...
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Habari nimeona ni share na nyinyi hii, Katika ushindani wa soko la simu kampuni nyingi za simu zimejikuta zikitoa simu zenye kushabihiana sifa. Kwa leo tuliangalizie kwa ndani simu aina ya Infnix Hot 10 Play na Samsung Galaxy A02s.na mwisho wa makali hii nadhani tutakuwa tumepata kufahamu ipi...
  17. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Wadau naomba mnijuze, Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
  18. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Infinix ipo kwenye safe mode

    Habarini wana jamvi wa JF tech, Bila kupoteza muda niende kwenye swala langu; kuna infinix hapa inaonekana kuna mtu ameichezea afu kaiingiza safe mode, zile applications zote zilizokuwa downloaded hazipo na kuna kinotification hapo juu kinasema simu ipo safe mode. Chonde jamani naombeni...
  19. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

    Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa. Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha. Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
  20. Root root AE

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Infinix hot 8

    Simu ishauzwa. Nashukuruni sana.
Back
Top Bottom