infinix

  1. Cheology

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix hot 11 play gb 64 clean kabisa bei 170k

  3. kagombe

    JamiiForums Tanzania Infinix x612 nikipiga picha picha inageuka juu chini

    Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612. Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku inaniletea juu ujumbe ninapojaribu kufunguka camera ya nyuma (The damaged is some function are...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu za Tecno, Infinix, Itel, n.k ni nzuri kwa bajeti lakini zinatumia soc zilizopitwa na muda, Ni sawa na kununua gazeti jioni,

    Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu. Yani wao wanachofanya ni kusomba Soc za zamani zilizopitwa na muda ambazo huwa zimepungua bei, Tatizo sio soc za...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kiama cha marejesho nimechukua simu Infinix note 5 kwa wadaiwa wangu watumishi kama Serikali haiwajali na mimi sina huruma

    Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie. Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
  6. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Infinix smart 3 plus inuzwaa laki moja Ru, 100000/=

    GB 32 ram 2..hain ttzo location; dare slam-mbibo call 0656376814 WhatsApp ; 0755056814 lofto
  7. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuuziwa infinix kwa 700k ni mwaka na miezi miwili sasa zimepita nimesamehe nishaurini tena wakuu

    Niaje Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k hapo ninampango niongezeze 300k ili itimie 700k sasa nataka mnishauri ni mkwaju gani wenye akili timamu...
  8. daraja la kigamboni

    JamiiForums Tanzania INFINIX YA 1.5ml hii hapa

    Ni infinix zero ultra
  9. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Infinix Hot 10i for sale

    Simu inauzwa Infinix Hot 10i 64GB Mali halali, mwenye nayo kapata dharura ana shida na pesa ya haraka. Price 150k. Location [emoji625]Dar es Salaam. 0676721372 | 0768315019
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

    Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama? Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

    Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena. Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanatumia Tecno na Infinix

    Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi nilivyokerekwa na kuchukia baada kumuona linatumia tecno hebu badilikeni. Yaani mimi nikimuona mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazee tunaotumia Infinix tupeane likes kwa kugonga January na mgao wake hatusumbui kabisa

    Hizi ni simu za wazee wa kazi. Hazimalizi chaji hovyo January hata kama aweke mgao mwaka mzima ni kubofya tu kama tunapushi walevi.
  14. Atalanta

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU INFINIX SMART 5

    wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
  15. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  16. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

    Habari. Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji infinix smart 6 used

    Habari wakuu, mwenye simu tajwa hapo juu , nicheki kwa 0713 039 875
  18. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    ufanisi wake ukoje?
  19. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
  20. Farsan

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Hot 10 PLay - 64GB, 4GB, 6000mAh

    Bei: 220000/= piga Simu, 0653499987 Hali: haijawahi kufunguliwa na mafundi,full boxed, Location: Dar es salaam
Back
Top Bottom