The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.
Kama wewe ni mdadisi wa kutaka kupima hisia za ukweli wa tuhuma fulani, basi angalia kwanza mrejesho wa mwanzo wa yule aliyetuhumiwa (yaani Reaction ya mtuhumiwa).
Baada ya Pole Pole kuzilipua CCM, NIDA na INEC, ghafla ziliibuka taarifa nyingi za makada wa CCM kujaribu kujibu hoja za Pole...
Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI
Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA!
WAMEKANUSHA kwamba hiyo mifumo haisomani!
Majibu haya ndiyo yamenishitua kabisa kuliko hata TUHUMA za POLEPOLE...
Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:
Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura...
Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.”
Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wa uchaguzi unaotumika na Tume hiyo umeunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na chama cha siasa, hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na madai kwamba zoezi la upigaji kura tayari...
Yaan nayenyewe yanajitokeza hadharani Et 'Polepole ni muongo, sio kweli ".
Hoja za Polepole, zinakua proved wrong Kwa kutoa tangazo hili 'NIDA/INEC inawaalika Vyama vya SIASA, WATETEZI WA DEMOKRASIA , TAASISI ZA KIDINI , WATETEZI WA HAKI , NCHI MARAFIKI ULAYA NA MAREKANI , NA WADAU WA...
X= CCM
Y = INEC
Z= NIDA
Qn: Define the function and importance of each union interaction in the ven diagram among the three players in election rigging
https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba
Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo.
Wakuu hao...
Baada ya hapo jana Ndg Pole pole kusema aliyoyasema, Inasemekana Leo mahali fulani watu wapatao 8 kutoka sehemu zilizotajwa na HP na wengine kutoka Idara moja. wamekutana.
Katika mazungumzo yao ambayo yamenaswa moja kwa moja na inzi wangu, inadaiwa kuwa wanajadiliana jinsi ya kufanya ili...
Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.
Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya...
Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura.
Baada ya madai haya ya Polepole, mapema tu ukaanza mtifuano na majibizano humu.
Wapo wanaopinga hoja za Polepole...
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
Wakuu, hili la Leo alolisema Polepole, linatosha kabisa kuisambaratisha CCM.
CCM imekoswa uhalali kabisa wa Kuexist kama Chama katika Dunia ya Multiparty .
CCM imepoteza uhalali wa Kuendelea na Uchaguzi.
CCM Wana Mfumo wa Kikomoyuta wakuingiza Matokeo kwenye Servers za Tume ya Taifa ya...
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.
Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.
NIDA mmetukosea sana Watanzania...
Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo”
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema anaridhishwa...
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tofauti na wagombea wengine wa vyama vingine, wengi wao wakifika na...
Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wagombea ubunge na udiwani waliopitishwa na vyama husika, kufika kwa wasimamizi wa uchaguzi kuchukua fomu za tume hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.