The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.
Mgombea urais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara ameilalamikia Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) akidai kuwepo kwa changamoto katika uratibu wa ratiba za kampeni, jambo linalosababisha mkanganyiko na migongano katika maeneo ya mikutano...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imefanya marekebisho ya takwimu za wapiga kura na vituo vya kupigia kura vitakavyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, baada ya kupokea taarifa rasmi kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 7, 2025, na...
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele, amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, hususan katika majimbo ya Chamwino na Mtera leo Septemba 25, 2025.
Ziara hiyo ilikuwa na lengo la kukagua maandalizi ya uchaguzi mkuu...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima imeeleza hivi:
“Katika tovuti rasmi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT -Wazalendo)...
Katika mchakato wa Kidemokrasia, Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Tume huru ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inachukuliwa kama nguzo kuu ya uaminifu wa wananchi. Lakini hatua ya Tume kuwapatia wagombea wa Urais magari kwa ajili ya kampeni inaleta maswali mazito kuhusu mustakabali wa Demokrasia na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imepanga kupokea fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo siku ya Jumamosi, Septemba 13, 2025, saa nne asubuhi, katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam. Wagombea waliopendekezwa na chama hicho ni Luhaga...
Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo.
Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa.
Lakini rufaa ya...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 vikisomwa pamoja na kanuni ya 29(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea jumla ya rufaa hamsini na moja...
Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo.
Chombo cha Habari...
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
Chama cha siasa cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali itaendelea kusikilizwa leo, tarehe 3 Septemba 2025, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma.Kesi hiyo, namba 21692 ya mwaka 2025...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, baada ya uteuzi kufanyika, wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya uteuzi.
Soma pia: INEC yawaita wagombea...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Ni makala ya pongezi kwa INEC kuanza kusawazisha uwanja tenge wa uchaguzi kwa wagombea 17 wa urais kwa kuwawezesha angalau angalau kufanania fanania kwa kuwapatia usafiri!, hivyo wataweza kufika popote ndani ya Tanzania hii. Vipi kuhusu...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi.
=============
KUHUSU UAMUZI WA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko madogo kwenye ratiba ya mikutano ya hadhara ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa bila ya kutoa taarifa.
Akitoa Taarifa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali Bw. Salifu...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.