inec

The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.

View More On Wikipedia.org
  1. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea urais wa chama cha DP alivyowasili INEC kuchukua fomu

    Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya leo Jumatano Agosti 13, 2025 ameongoza msafara wake kuelekea Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi. Soma pia: Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Mluya: Serikali yangu itakuwa na wajibu wa kuwatunza mama mjamzito na mtoto kwa kumpa lishe bora kwa muda wa miezi mitatu

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
  3. R

    GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Kijamii (CCK) awasili kuchukua fomu INEC

    Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
  4. R

    GE2025 Mgombea Urais Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina Rwamugira achukua fomu INEC

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
  5. Roving Journalist

    GE2025 INEC yamkabidhi Fomu Mgombea Urais wa TADEA, Georges Bussungu

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA)...
  6. Just Pray

    GE2025 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Coaster Kibonde achukua fomu ofisi za INEC

    Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha (NLD) Doyo amefika kuchukua fomu akiwa na Bajaj

    Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League , Doyo Hassan Doyo akiwa na msafara wake amefika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa Jijini hapa akiwa ndani ya bajaji. Doyo ametinga katika viunga hivyo leo Jumapili, Agosti 10, 2025 saa 5:29 asubuhi...
  8. B

    GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  9. Roving Journalist

    GE2025 Kailima asema INEC itafanya kazi kwa karibu na Waandishi wa Habari kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
  10. Roving Journalist

    GE2025 Tume ya Uchaguzi (INEC) inazungumza na Wazalishaji wa Maudhui ya Mitandaoni, leo Agosti 3, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
  11. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti INEC: Si kweli kwamba wananchi hawaiamini tume ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele, amepinga madai kuwa wananchi na vyama vya siasa hawana imani na tume hiyo, akisisitiza kuwa wadau wote muhimu wanashirikishwa kikamilifu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Akijibu swali la mwandishi...
  12. Just Pray

    GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: Changamoto ya mawakala tumejirekebisha

    Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025. Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
  13. OleWako

    Tufanye Mahesabu ya waliojiandikisha kwa Uchaguzi Mkuu: 37.7M - 35.3M = ?

    Watu Milioni 2.6 Zaidi? Hebu Tuchambue Kwa Kina.. Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitangaza kwamba jumla ya wapiga kura 37,655,559 wamejiandikisha kwa uchaguzi mkuu ujao. Kwa mujibu wa Sensa ya 2022, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ilihesabu kuwa Watanzania 35,341,132 waliokuwa na umri wa zaidi ya...
  14. Abraham Lincolnn

    Mpaka sasa Tume ya uchaguzi INEC haijatoa tamko wala kuchukua hatua dhidi ya CCM licha ya kuvunja katiba

    Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
  15. Parabolic

    LHRC: INEC itoe uhakikisho kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Massawe ametoa wito huo leo Julai 24, katika mahojiano katika...
  16. CM 1774858

    INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 INEC yawataka wasimamizi wa Uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CHAUMMA yaitaka INEC kuwachukulia hatua wasimamizi wanaowaengua wagombea wa upinzani

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa madiwani ,wabunge na urais watakaojihusisha na vitendo haramu vya kuwaengua wagombea wa upinzani...
  19. Blasio Kachuchu

    PreGE2025 Mwenyekiti wa INEC atembelea Gereza la Butimba kukagua zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Na Mwandishi Wetu, Mwanza. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Gereza Kuu la Butimba lililopo mkoani Mwanza na kushuhudia namna...
  20. Parabolic

    PreGE2025 Balozi Mapuri asisitiza ufanisi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza na vyuo vya mafunzo

    Mwandishi Wetu Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili waweze kutekeleza zoezi hilo kwa ufanisi. Wito huo...
Back
Top Bottom