inec

The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    PreGE2025 Hivi ni kweli CHADEMA wameiomba INEC iwaruhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 la sivyo wataiburuza INEC mahakamani?

    Takribani mwezi mmoja uliopita chadema waligoma kusaini fomu ya maadili yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kitendo hiki kilipelekea Tume huru ya uchaguzi (INEC) kwa mjibu wa sheria kuifuta chadema kwenye kushiriki kwelnye chaguzi zo zote zitakazofanyika hadi mwaka 2030. Hii ina...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Kailima: INEC haitaongeza siku za kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mei 22 ni mwisho, wananchi wajitokeze kwa wingi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  3. LAZIMA NISEME

    PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) yasisitiza haitaongeza siku za uboreshaji awamu ya pili

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili mzunguko wa pili ulioanza Mei 16 hadi22, 2025 ukikamilika Tume haitaongeza siku za ziada hivyo wananchi wenye sifa wajitokeze katika siku mbili zilizobaki kujiandikisha au kuboresha...
  4. Pascal Mayalla

    Kelele za Mlango, Chura Kisimani na Joka la Mdimu. Japo Si Lolote, Si ChochoteZikizidi ni Kero. Maa' Hebu Wape Tuu...Bila Mabadiliko, INEC ni Batili!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Nipashe la leo Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wa nchi, kujiamulia mambo yake yenyewe ya ndani, bila kuingiliwa na mataifa ya nje au taasisi za kimataifa. Nimeileta mada kama...
  5. BLACK MOVEMENT

    INEC; Waangalizi wa uchaguzi hawataruhusiwa kufaya mahojiani na chombo chochote cha habari wakati wote wa Kampeni na upigaji kura.Goli la Maradona

    JTa nchi kama Congo DRC au Burundi au Rwanda hakuna aina hii ya kanuni, yaani mchi tunazo amini ni za kidikiteta badi hawana aina hii ya sheria kwa Waangalizi wa uchaguzi. Hawa INEC kama wanavyo jiita wamejiandaa sana kwa Goli la Maradoma goli la mkono kuliko hata 2020. Kwenye kanuni zao...
  6. Nipe Maji

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, yaanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu la pili

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
  7. CM 1774858

    Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
  8. M

    PreGE2025 Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki

    Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo , vimekuwa vikiongeza idadi vya Viti vya Udiwani...
  9. B

    PreGE2025 Tume huru INEC yataja vigezo sita kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura

    INEC imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu Mkurugenzi wa INEC Tanzania Bw. Ramadhani Kailima Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu ya mpiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
  10. Inside10

    PreGE2025 INEC: Ni Marufuku Kuhamasisha Watu Wasipige Kura

    Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi...
  11. Doctor Mama Amon

    A Question to Judge Mwambegele: Does Tanzania's INEC have Power-Right to Disqualify Any Registered Political Party From Participating in an Election?

    Chairperson of the Tanzania's INEC, Justice Jacobs Mwambegele INTERROGATING THE COMPETENCE, INTEGRITY, CREDIBILITY AND INDEPENDENCE OF ELECTION MANAGEMENT BODIES: A TANZANIAN CASE STUDY ON THE ALLEGED INEC'S POWER TO DISQUALIFY A REGISTERED POLITICAL PARTY FROM PARTICIPATING IN AN ELECTION...
  12. N

    PreGE2025 Vijana wasomi wazidi kuudhihirishia umma kuwa INEC ni tume ya CCM na inafanya maamuzi kwa maelekezo ya CCM

    Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo. Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti INEC: Tafsiri ya mwisho kuhusu Chadema kushiriki uchaguzi ni ya Mahakama

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amesema kilichozungumzwa na tume hiyo ni tafsiri yao na kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanatafsiri tofauti basi mtafsiri wa mwisho wa mambo hayo ni mahakama. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yawataka wapiga kura kuhakiki taarifa zao kwa simu

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kutumia njia rahisi za kiteknolojia kuhakiki taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi ujao. Akizungumza leo Aprili 14, 2025 na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Tume...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 NCCR Mageuzi: Asilimia 98 ya mapendekezo yetu yamezingatiwa na INEC

    Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni za Maadili yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  16. Influenza

    PreGE2025 Mnyika: Sitakuwepo kuwakilisha Chama kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 INEC: Hakuna chama cha siasa kilichowasilisha malalamiko ya kanuni za maadili ya uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi, na kwamba kesho vyama vya siasa vitakuwa Dodoma kwa ajili ya kusaini kanuni hizo. Kupata matukio na...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkurugenzi INEC Ramadhan Kailima: Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake

    Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake…tume huwa inakata kutokana na makosa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizotungwa na Bunge…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akivisihi vyama vya siasa kutulia wakati wa ujazaji wa fomu ili...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Mkurugenzi INEC Kailima: Tume ya Uchaguzi haihusiki na sheria, malalamiko ya Vyama yapelekwe Bunge au Serikali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima ameweka wazi kuwa: Tume ya Uchaguzi haihusiki na uandishi wa sheria, hivyo kwa wale wanaotishia kususia uchaguzi kutokana na kutoridhishwa na marekebisho ya baadhi ya sheria, wanapaswa kuelekeza malalamiko yao...
  20. McLaren

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi ina maslahi gani na watumishi wa umma mpaka itake kuwaajiri wao tu kusimamia Uchaguzi?

    Wakuu, Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana. Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya), na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (nafasi tatu kwa kila jimbo) Soma pia: Tume Huru ya Taifa ya...
Back
Top Bottom