The INEC card reader is a portable electronic voting authentication device configured to read only the Permanent Voter Cards (PVCs) issued by the Independent National Electoral Commission (INEC) in Nigeria.
The card reader was designed for the accreditation process (authentication of eligible voters before voting). The machine was configured to read only the PVCs of a particular polling unit and can only work on election day.
Haya sasa mambo yapo nje ya muda, yaani CCM mwaka huu hata hawaogopi ni mambo hadharani kuvunja kanuni na sheria za nchi na hawachukuliwi hatua.
Hapo ingekuwa ni CHADEMA tayari huyo mgombea angefutwa na kuondolewa kuwania tena Tume ya uchaguzi wangeshatangaza ila kwa sababu ni CCM ni kama...
Wasalaam.
Kwa nchi maskini kama hii yenye umasikini uliokithiri inashangazwa kuona wagombea urais wanapewa magari ya anasa aina hii. Kama mgombea urais hana hata usafiri kupiga kampeni alichokua fomu ya nini? Huyu ikitokea bahati mbaya akashinda urais si anaenda kuwa mwinzi kuliko ccm ya leo...
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea...
Wakuu habari,
Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer.
Haitakua busara Mgombea wa CCM kupewa gari maana wanajitosheleza wale, kwanza msafara wa kuchukua tu fomu ilidhihirisha tayari...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Dk Emmanuel Nchimbi, kugombea nafasi ya urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu...
MKURUGENZI WA UCHAGUZI
TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI
UCHAGUZI HOUSE
ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA
P.O.BOX 358 41107 DODOMA
YAH: KUPINGA MAELEKEZO YA TUME KUTAKA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO KUTOFIKA
KURUDISHA FOMU
Naomba urejee suala tajwa hapo juu.
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa mshtuko na...
Ni kweli NIDA ipo Integrated everywhere including banks, TRA, migration, mitandao ya simu and so forth. Hii integration inaitwa Verification Access Integration. Ni kwa ajili ya kuhakiki taarifa tu.
Hoja iliyowekwa juu ya meza ni mfumo wa NIDA- INEC upo full integrated na mfumo wa CCM that...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za
Zoezi la urejeshaji wa fomu na uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais...
Palikuwa na uzi humu:
Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?
Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia.
Ikumbukwe anayeweza...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho...
MASACHE KASAKA ACHUKUA FOMU INEC YA UBUNGE JIMBO LA LUPA
MGOMBEA wa Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya Kwa tiketi ya CCM Ndg. Masache Njelu Kasaka leo tarehe 25/8/2025 amechukua fomu za uteuzi wa Wagombea Kiti cha Ubunge Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya kutoka Kwa Msimamizi Mkuu...
Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura.
Nawasilisha.
Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa.
Uhalali wa jambo...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka.
Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya.
Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
Mtu wa ndani kabisa ambae kila mtanzanzania anajua alishakuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. Hivyo ni dhahiri alishashiriki uovu aliouweka wazi
Alafu wanaibuka viongozi wa Inec na Nida wanasema apuuzwe.
Ni wazi kuwq anafahamu na ana uhakika kuww mfumo wa Inec unaingiliwa na watu wenye nia ovu
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???
Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
Lengo ni watu wafanye Cross checking ya majina hayo kama kweli watu hao walienda kujiandikisha.
Nje ya hapo Uchaguzi wa 2025 ni batili kwa sababu matokeo sio takwa la wananchi
CCM B (ACT, CHAUMA, NCCR, TLP, CUF n.k) sijui mnaingiaje kwenye uchaguzi huu mkiwa tayari mmeshapigwa 3 bila.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.