India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran.
India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake.
Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam.
Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini.
Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
Mzuka wana jamvi!
Kuna sababu gani sasa ya kutubagua waafrika weusi. Sisi weusi ndo inabidi tuwabague.
Najiuliza huko India hamna bwana afya?
Video chini.
Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana
---
"This is...
Muigizaji mkongwe wa Bollywood Dharmendra Kewal Krishan almaarufu ‘He-Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 leo Novemba 24, 2025.
Dharmendra ambaye mmoja wa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya sinema ya India ameshiriki filamu nyingi za kihistoria kama Sholay (1975), Phool Aur...
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali ya awamu ya sita ilishaanza mazungumzo na Soko kubwa la mazao hayo nchini India ili kuweza kununua...
Kampuni la pikipiki kutoka India, Holaciudad wamezindua official superbike ya umeme inayoenda kwa jina la Diamondhead.
Imeitwa Diamondhead kwasababu ya muonekano wake wa mbele, kua na shape kama ya diamond. Pia ni e-Superbike inaweza kutoka 0-100kph kwa sec 2 tu.
Hola wamesema, body yake...
"Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!"
— Donald Trump
Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta...
kwa mujibu wa shirika la habari la ANI Agosti 27, 2025 mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo katika njia maarufu ya hija ya Kihindu kaskazini mwa India, na kusababisha vifo takribani watu 30 huku maafisa wakitoa tahadhari yamewalazimu maafisa kutoa tahadhari kwa wananchi...
hi i am interested by the etymological database project of Serguei sTAROSTIN
i want to participate in it , bringing infos about african languages to compare them with melano- hindus( veddoids and dravidians) people who originate from Africa as said Bernard Sergent of french CNRS
I think it can...
India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya Mtandaoni, 2025.
Muhtasari wa Sheria Mpya
Kimepigwa Marufuku
Michezo yote ya mtandaoni yenye...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi.
Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.