inawezekana

  1. Masalu Jacob

    Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
  2. Yoda

    Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

    Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu. Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
  3. Mhaya

    Je, inawezekana kuhamisha unit za umeme wa Single phase kutoka meter moja kwenda meter nyingine?

    Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine? Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
  4. Kumfumaster97

    Je inawezekana kubadilisha namba niliyounganisha na NMB Acc. Ilhali hiyo laini nilishaipoteza na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo?

    Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
  5. Roving Journalist

    Ngulangwa: Inawezekana CUF kutotambua Uchaguzi wa Oktoba 29 imesababisha Msajili aone Uchaguzi wetu ulikuwa batili

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
  6. Minjingu Jingu

    Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  7. Fbn

    Hii account mtandao X ya raisi inawezekana inaongozwa na mtoto wala sio yeye wala ikulu.

    Hivi mjawahi kujiuliza account ya raisi anatumia yeye au mtu maalumu kama sio mwanae,basi mtu wake wa karibu. Tumeona account ya Dolnad trump na viongozi wengi. Hata wajibiwe vipi uwezi kuona wana kublock labda kuwepo na shida kubwa sana. ila ya huyu yani ukimpa challenge na spana unaingizwa...
  8. Masalu Jacob

    Maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana

    Habari Tanzania ! Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria. 1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana. Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
  9. Agent-47

    Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  10. Mikopo Consultant

    PostGE2025 Resource Gap: Inawezekana kabisa kura Milioni 32 kuhesabiwa kwa siku 2, ila sidhani kama zilihesabiwa!

    Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?" Japo wengi wameunga mkono huo mtizamo, ila kwangu, mimi nasema kwamba: inawezekana kabisa kuhesabu kura milioni 32 kwa...
  11. Fbn

    PostGE2025 Inawezekana kuwa ni visasi, maana kila idara wamewekana wao kutoka Zanzibar

    Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa. Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika. mlipo mnakazi kazi ngumi...
  12. Chizi Maarifa

    Je, inawezekana kumtrace mtu kupitia instagram au x/twitter ikiwa alijiandikisha kwa account fake

    Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta? Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
  13. K

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
  14. Griss

    Hivi duniani hii inawezekana

    Ni dharau Kiburi Ulimbukeni Kukosa maarifa? Au uhuni? Mama Rais mtoto waziri Hii sikumbuki ilitokea nchi gani duniani yenye democrasia Toka nimezaliwa sijawai kusikia Wala kuona.
  15. ERoni

    Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
  16. VN Warehouse Limited

    Kubadilisha jina ulilotumia kusajili kwenye LIPA no inawezekana?

    Habari wadau, Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
  17. Chizi Maarifa

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali. Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
  18. Chizi Maarifa

    Inawezekana Ile Oktoba 17 Israel ilishirikiana na Hamas wasio waaminifu kufanya ule Mtego

    Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu. Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
  19. Stability

    Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  20. D

    Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
Back
Top Bottom