inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Mwenye kuzifahamu gari ndogo za mizigo inayoweza kubeba mzigo wa tani 2 mpaka 3

    Wakuu habari za kazi nina shamba langu mahali baada ya mavuno, nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka sokoni. Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie, hata kuweka picha na sifa...
  2. Je ARM inaweza kuua x86 processors kwenye computers?

    Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu mjadara umekuwa mkubwa mtandaoni. Kabla ya hapo mjadara mkubwa ulikuwa ni AMD ryzen 5000 dhidi ya...
  3. Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  4. R

    Ni software gani inaweza nisaidia kuandaa bid document kirahisi?

    Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo kuna sehemu kuna shida kidogo na naamin humu wapo ambao pia wanafanya hii shughuli. Shida ipo hv...
  5. NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

    Mgogoro Kati ya Ukraine upo kweli na Vita kubwa sana yaweza Kutokea baina ya Urusi na Ukraine wakisaidiwa na NATO. Chokochoko hapo ni Marekani tu ndio ambae anampa kiburi na kumdanganya Ukraine. Nia ovu ya Marekani Ni kuwa na wanachama wengi wa NATO walio karibu na Urusi na hasa wale walikua...
  6. TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  7. Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…