Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka.
Kuna nini kinaendelea hadi...
Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Sina muda wa Salamu.
Nina hasira kichizi.
Wadau kuna hawa vijana wanaoingia na kutoka VETA huku mtaani wanafungua showroom zao za aluminium kufanya ufundi majumbani kufunga vioo kwenye madirisha.
Vijana mnapopewa kazi fanyeni kazi msilete utoto utoto na ujanja ujanja kwenye kazi ukipewa kazi...
Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda.
Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate.
Tafadhari ndugu zangu si kwa...
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu.
Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake.
Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu.
Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
Tupo humu daily tukilamba makalio na miguu ya viongozi wetu wa chama. Tukisifu na kuabudu wao daily. Kazi yetu haionekani. Kwa sasa nani mwana CCM mzuri humu kwa kusifu na kuabudu kama Mwanaishambwa na tilatilaa? Hawa watu juhudi zao kila siku tunazisema kwenye vikao.
Dulla hawaoni hawa? Pesa...
Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa jamaa waliitaka hii vita kwa hima fahima.
Hii Vita ilianzishwa kiujanja ujanja sana. Israel walitaka...
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa.
Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa
1. MKOPO-16,000,000/
2. MUDA-MIEZI 60...
Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata
Inaumiza sana...
Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana!
Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.
Maagizo yalisema aandike:
1 Yohana 4:18
Kuweka muonekano vizuri Designer akaondoa ile moja pale mbele ikabakia Yohana...
Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa.
Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni?
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.