HP LaserJet printer P1102 Inahitajika

HP LaserJet printer P1102 Inahitajika

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
940
Reaction score
1,399
Habarini na poleni na majukumu wanajamvi.

Inahitajika HP LaserJet printer P1102 iwe used one hand (imported) au new kwa matumizi ya kiofisi.

Iliopo imechoka na imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo.
Kwa atakayekuwa nayo katika duka lake ani-PM tufanye biashara kwa mkoa wa Mbeya imetafutwa katika maduka mbalimbali haijapatikana ila kama kuna duka halikutembelewa mkoani hapo na ipo basi anitafute PM nje ya mkoa pia anitafute tu tuyajenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom