Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236
Suala...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
Mafundi na wazoefu naomba ushauri.
Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta napunguza mwendo,nikimaliza na kukanyaga mafuta kidogo tu inapanda mpaka 2000,baadae inashuka...
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
=========
Kutoka kwa mdau humu jukwaani.
Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa...
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China.
Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya.
“Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
Lipo shinikizo la kijamii kwamba mwanadamu anayeweza kukubalika na kuaminika ni yule aliye na ‘akili timamu’. Kwasababu hiyo kila mmoja hupenda kujitazama kuwa yu timamu pengine dhidi ya, au kuliko wengine wote wanaomzunguka. Huona kuwa changamoto za kiakili hazimhusu yeye; ni matatizo ya...
Wakati mfumuko wa bei ukiendelea kutuchapa kuna mengi pia ya kufurahia kwenye haya maisha....
Leo naanza weekend mapema kabisa, nikila ngoma moja ya hatari sana.....
Aliyesema msemo MUSIC IS LIFE hakukosea kabisa.....
Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1.
Chelsea anadraw 1-1
Liverpool anashinda 3-1
Spurs anashinda 4-0
Newcastle anashinda 2-1
Aston villa anadraw 0-0
Leeds anadraw 2-2
Westham anashinda 1-0
Man...
Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China.
Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani.
SIFA ZAKE
Awe smart kichwani...
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.