imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
  4. JamiiForums Tanzania Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Serikali imeshindwa kumlinda Hayati Magufuli, kuna nini nyuma ya kuchafuka kwake ?

    Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ? Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ? Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ? Huyu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je Israel imeshindwa kuwaokoa mateka?

    Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
  9. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  10. JamiiForums Tanzania Kadhia ya utekaji kwanini Serikali imeshindwa?

    Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je, hawa watekaji wamegeuka serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Drama ya Mondi kuachana na Zuchu imeshindwa kuwapaisha.

    Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea. Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mpaka Sasa TAMISEMI imeshindwa kabla ya zoezi kuanza

    1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea? 2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina...
  14. JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
  15. JamiiForums Tanzania 'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

    Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini. Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Iran yametua Israel bila kipingamizi cha mitambo ya Iron Dome. Je, Israel imefanya makusudi ili ipate backup nzito ya Kuitindua Iran?

    Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu. - Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran imeshindwa kumlinda mshirika wake Hezbollah na Hamas?

    Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya Hezbollah, Hamas, Iran na vikosi vyote vya kishia duniani. Pia alikuwa ni kipenzi kikubwa cha Ayatollah...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

    Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu? Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua. CCM must go!
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  20. JamiiForums Tanzania Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…