Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha
Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw
Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je, nani aweza kumuamini muongo?
Katika sikukuu ya Krismasi, familia nyingi hupata fursa ya kipekee, mara moja tu kwa mwaka, kutoka nje na kukutana na ndugu pamoja na marafiki katika mikusanyiko ya kusherehekea na kufurahia sikukuu hiyo.
Litakuwa jambo la kusikitisha sana iwapo tutasikia serikali ikisalimu amri kwa vitisho...
Manchekesha sana mapot
Mnadharaulikia.
Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k
Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo.
Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC...
Wakuu,
Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa.
Lakini hola!
Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania.
Hii nchi imeoza to the core!
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni...
Nauliza si kwa ubaya.
Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi.
Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea.
Nini kipo nyuma...
Kazi iendelee...
Naona mnajitia vikumbo kujipa moyo wa kiberiti. Mipango yenu ishaporomoka kama bati ya mwezi wa kusi. Mama tunaye vilivyo, si wa kuchovya, ni wa kumeza na mfupa! Karibuni mtajua nani ndiye Boss wa meza, si wa kugongea bakuli kama huyo Babu yenu. Wakati ule mlidhani mgeni hajui...
Habari wanabodi.
Mimi ni mmoja wa watu waliofanya saili wa kuhojiwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Sina hakika kama nilifikisha maksi za kufaulu au la.
Nimekuwa nikitembelea ajira portal ,status bado ni ileile ya kuitwa kwenye usaili wa mahojiano(SIJUI KAMA HUWA INABADILIKA)...
Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande.
Nadhani lead counsel wasizidi watatu. Anyway, nawapongeza mawakili wa Lissu kwa kukwepa utando wa kisheria (legal cobweb)...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
FaizaFoxy Hivi wale vijana machachari wa Hezbollah waliendaga wapi? Wamebaki wala Mirungi wa Houthis ndio wanasumbua sumbua.
Hezbollah hata online hawaonekani
Hamas wamesalitiliwa na kila mtu
😅 😅 😅
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.