imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ulaghai na Ramli za Wanasiasa (The Finger Pointing Culture)

    Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics. Nashangaa pale Chama tawala wanapolaumu wapinzani ni kama dereva kulaumu abiria wakati yeye ndio anaendesha (lakini naelewa...
  2. nipo online

    JamiiForums Tanzania Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

    Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

    Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo. Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa" Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Ahadi kama hizi Ndio zinakosesha imani kwa Utawala Huu

    Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa! Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa kufanya nini kama sio kukufukuza kazi kwa njia ileile waliyo kuingiza kazini yaani KURA? Au watumie...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Mwanaume huna msaada,ishi kwa imani

    Hizi ni maada zimejadiliwa sana , ni kwamba narudia tu ili kuzidi kuweka mambo barazani ili kuwakumbusha wanaume wenzangu kuwa wanaume tumebeba majina na maana halisi ya maisha,hata katika visa kibao tunavyosoma ni kwamba mwanaume ndiye aliyebeba maana nzima ya kitu kinaitwa Dunia (ulimwengu)...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Zijue na tujifunze kanuni kuu za imani duniani

    kANUNI kuu za imani Tumsifu Yesu Kristo Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wambingu na dunia; na kwa Yesu Kristo Mwanae pekee, Bwana wetu, aliyetungwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

    https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aliimba " Nina imani na Lowasaaa" T2020 nimaimba "Nina imani na Dr. Nchimbi ku-print zaidi ya fomu moja 2025"

    Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara. Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua. Huduma za jamii kiduchu, Hata Mch. Msigwa anajua Mikopo mabenki riba juu sana, Hata Dr. Mwigulu...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Fikra inayodai Mwanaume hapaswi kuchelewa kupata mtoto tumeipata wapi?

    Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania CWT wamejipanga kurudisha imani kwa wanachama wao waliokimbilia CHAHUWATA

    Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu. Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa...
  13. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Imani na Mifano tata

    Naam, kama ilivyo katika maisha ya kawaida, kila kitu huwa na pande mbili zinazokinzana, kama vile mrefu na mfupi, mweupe na mweusi, na kadhalika. Vivyo hivyo, imani ina pande mbili: kuamini au kutokuamini, ukweli au uongo. Mfano, unaweza kuamini timu yako itashinda mechi kesho kwa vile ina...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hawa watatu ndio wanaochekesha na kuabisha zaidi watu wa imani yao katika vita vya Gaza.

    Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpira bongo ni kama imani za dini za manabii wa kisasa, hakuna kitu tofauti utawaambia watu wakakuelewa.

    Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini. Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira. Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
  16. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

    Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Dunia inatembea juu chini inapokosekana imani/dini. Leo nathibitisha kuwa imani ni muhimu kwa usalama wa ulimwengu

    Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika kutambua uwepo wa Mungu sikufanikiwa kutambua uwepo wake katika kuyaongoza maisha yetu, ila nimekuja...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Shairi: Tanzania imebadilka tuna imani na mama lakini ccm sijui kama tutaipigia kura kijani

    We Mama Njoo Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika Tanzania Ya Leo Oooh! Imejengwa Imejengeka Pita Ubungo Tazara Za Juu Barabara Tayari Zinatumika Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage Karibu Inakamilikaa! Tanzania Ya Sasa Mama Aii Mama! Ya Magufuli Mama Aii Mama! Ina Wakawaka Mama Aii Mama! Inapendeza...
  20. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
Back
Top Bottom