Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.
Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala.
Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo!
Nashawishika kuamini hii inatoka na kazi yao kutaka kuwaridhisha mashabiki wao ambao wapo pande zote za Imani...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani
Awataka...
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo
Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani
Awataka...
Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee
Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
Ndugu wa JF, Nawasalimu wote.
Bila kupoteza wakati nianze kwa kutoa maelezo mafupi ya kile kinachomsibu ndugu yangu wa karibu sana jambo ambalo linaniathiri na mimi pia.
Nina huyo mamdogo wangu ambaye ni kama mama yangu kutokana na namna nzuri alivyonisaidia kunisapoti kimasomo wakati niko...
Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata vile wavitakavyo vilipo au kuvivutia
Mara nyingi vitu vizuri zaidi vina ushindani na wakati mwingine...
Kama kawaida hope mko poa
Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop
Za desktop, mobile, na web based systems.
Nimesoma chuo ila nilikua based on networking zaidi ila badae nikabased na Programming.
Natamani niweke github yangu hapa ila sitaki...
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili.
Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake.
Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani.
Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
Baada ya siasa za Tanzania kufanywa na dola badala ya wanasiasa imani ya wananchi imepotea kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Awali ilikuwa dola haijitokezi adharani kudhibiti wanasiasa ila kwa zaidi ya miaka nane sasa wanasiasa wameonyesha kuweka dola mbele zaidi.
Je ni lini dola...
Mimi ni mchimbaji wa madini.namshukuru Mungu kuwa nimeokoka na ni mwanasayansi.
Wachimbaji wadogo ambao wanajiita wanachama au mafadhagora na wengine wanashift hawaamini kuwa wanaweza kupata madini bila kutoa kafara ya mnyama au hata ya mtu kabisa.Hii ni shida kubwa
Ndiyo maana utasikia mtoto...
Kwenye mada moja kwa moja.
Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila.
Swali la msingi, Je mtu anayeishi na uchizi mpaka jamii ikamtenga, Kwanini haumwi ? Je anaishi kwa imani au...
Habari Wana JF, Namshukuru sana Mungu kwa kumuweka hai,Katika hii Dunia kuna mambo mengi sana mazuri na mabaya, Moto huzaliwa na wazazi wake yaani Baba na mama,haijalishi atalelewa na Nani.
Kumetokea matukio mengi ya ajabu na yenye kutisha yanayotendwa na binadamu wenzetu,asilimia kuwa...
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa.
Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo...
Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.