iliyojificha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miguel255

    Siri iliyojificha nyuma ya logo ya "kappa"

    Tazama kwa umakini hio picha hapo juu Bila shaka umewahi kukutana na logo hii kwenye nguo, kofia na hata mabegi. Hii kampuni inaitwa "Kappa", ni kampuni ya mavazi iliyoanzishwa 1967 huko nchini Italia. Kama nilivyosema hapo juu, kampuni hii inajihusisha na swala zima la mavazi; kuanzia track...
  2. President of China

    Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  3. The redemeer

    Sanamu la Liberty 🗽 of status na siri iliyojificha ndani yake

    👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri. 👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi huo (craft) katika Freemasonry unahusu kujenga Ubongo wa juu, Kujenga moyo bora na kujenga nafsi...
  4. GENTAMYCINE

    Nini SIRI iliyojificha yenye 'Spiritual Power' ya Watu kadhaa kupenda Kuvaa Saa Mkono wa Kulia hata kama Wanaandikia Mkono wa Kulia?

    Wale mnaliojua hili au kilichojificha hapa mtuambie tafadhali kwani nasikia ina maana Kubwa mno kwa Nguvu za Juu.
  5. chiembe

    Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Chata la Tai mwenye taji kwenye malori na Siri iliyojificha

    Kwema Wakuu! Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani. Kama utakuwa mdadisi unaweza kugundua Jambo hilo kwamba Kati ya malori matatu basi Lori Moja litakuwa na chata...
  7. DR Mambo Jambo

    Kwanini kila ikifika Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Lazima kutokee Mikwaruzano Ya Kisiasa CHADEMA Ya FAM Hii ndo SIRI ILIYOJIFICHA

    Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 Na Ikawa kweli 2013 na 2014, kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Na sasa ni kweli pia...
  8. MINING GEOLOGY IT

    Siri iliyojificha nyuma ya wizi wa 'unga' wa Exhaust za magari (Masega)

    'Unga' wa Exhaust za magari unatokana na madini ya palladium. Kwa jina Masega Palladium ni chuma adimu chenye thamani kubwa kwa sababu ya matumizi yake muhimu katika sekta mbalimbali, hususan kwenye magari na teknolojia nyingine. Thamani yake inatokana na katika utengenezaji wa vifaa vya...
  9. A

    Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  10. T

    Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  12. W

    Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
  13. J

    ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  14. Mr Pixel3a

    Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
  15. Hismastersvoice

    Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

    Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia. Pasikali asiyewapenda...
  16. RoadLofa

    SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  17. Amavubi

    Kunywa Mkojo wako wa Kwanza wa Asubuhi ni Dawa Murua sana

    Bandhugu' Nasikia hii ni dawa nzuri sana Urine therapy refers to one of several uses of urine to prevent or cure sickness, to enhance beauty, or to cleanse one's bowels. Most devotees drink the midstream of their morning urine. Some prefer it straight and steaming hot; others mix it with...
  18. Ben Zen Tarot

    Kuna siri gani iliyojificha kwenye namba 13?

    Hiii number ina nini? Je, ni kweli hii number 13 ina mikosi? Katika mbio za magari number 13 haipo Guest house number 13 haipo! Jezi number 13 ni nadra na Kama ipo ina walakini! Ghorofa number 13 haipo, kwanini? Wamesahau au ina shida gani? Taifa la Germany number 13 hata kwenye kalenda...
Back
Top Bottom