ili

Ahupuaʻa (pronounced [əhupuˈwɐʔə]) is a Hawaiian term for a large traditional socioeconomic, geologic, and climatic subdivision of land. It usually extends from the mountains to the sea and generally includes one or more complete watersheds and marine resources. The predominant traditional system in the eight high islands of the main Hawaiian Islands was based on the ahupuaʻa. Each ahupua‘a contained a cross section of island resources and they were managed within a complex social system associated with each area. The general belief is that each ahupua‘a met the needs of the local population, with excess for tribute and trade.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia mpe tu hiyo nafasi Mbowe kama ulivyodhamiria ili mpango wako ukamilike

    Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu. Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ili ufanikiwe ni lazima uwe katili

    Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa, Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo mtafafa Alikua kwenye biashara kwa miaka zaidi ya kumi Mala gafla kaanza kuumwa,peleka vipimo...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha jinsi saratani ya tezidume unavyobadilisha mfumo wa kemikali mwilini ili dawa isifanye kazi

    Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi vya kawaida vya utengenezaji wa lehemu (cholesterol), mchakato ambao unaweza kuchochea uwezo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  8. JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Unataka kuanzisha Driving School? Haya ndio mambo ya kuzingatia ili ujenge biashara yenye wateja na faida

    Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
  10. JamiiForums Tanzania Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  11. JamiiForums Tanzania Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

    Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi. Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

    Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha. Lakini pia hastahili kua nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…