PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.

Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Ujue ili iweje na wakati wewe ni msusaji uchaguzi tu gentleman?

kwanini usisusie kujua hata kinachoendelea na itapendeza zaidi gentleman?🐒
 
Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.

Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
 
Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.

Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Ulishawahi kuona una hamu na kitu na ukikipata akikusaidii chochote
 
Back
Top Bottom