ilala

Ilala is an ancient town in Irepodun LGA, Kwara State. It is situated in the northeastern region of Kwara State and ruled by a monarch usually referred to as Aala of Ilala. The present Aala of Ilala is Oba Abd'Wahab Osuolale Adeyemi, Oyebamire II.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mussa Zungu atia nia kugombea ubunge jimbo la Ilala

    Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera sana daughter kwa kuchaguliwa form 5 first selection. Shule ipo Ilala ( Sema ni Day)

    Hongera sana binti wa Likud kwa kuchaguliwa first selection form five. Shule ni ya day, ipo Ilala, Dsm. Ada elfu 20 kwa mwaka... Duh wacha nikimbie zangu One Point ya Chax nikajipongeze na kawine kangu ka elfu arobaini. Duh my budget was 50 Cents. Matokeo yamekuwa Jay Z. Sio kawaida kwa mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ilala ni kubwa igawanywe ipatikane wilaya ya Ukonga

    Wilaya ya Ilala ni kubwa ambayo inahusisha mjini kwa maana ya kariakoo na posta pamoja na miji ya pembezoni kama Tabata, Segera, Kinyerezi, Maramba, Kitunda yote hadi Kivule,Ukonga, Gongo la mboto na vitongoji vyake ikiwa ni pamoja na chanika na maeneo mengine kama majohe pugu bomba mbili bwera...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kifahari inauzwa mbondole wilaya ya ilala dsm bei ya kutupa

    🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33 📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿 Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA GONGOLAMBOTO NJIA PANDA YA KIVULE ZOTE NI NJIA KUJIA MBONDOLE ✅ ✍🏻Ina Vyumba vitatu ✍🏻SEBULE ✍🏻JIKO...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Mpogolo: Miaka minne Ilala imepokea zaidi ya bilioni 317 ya miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo Mpogolo amesema katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Dkt. Samia zaidi ya Bilioni 317 zimetolewa kwenye wilaya ya Ilala na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo vya polisi Ilala kuimarisha usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kuongeza EMS zake? Temeke kuna ipi, Ilala ipo ipi? Kwanini zinejaa mjini?

    Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno. Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5? Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo. Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
  10. JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Magole kwa Mpemba mchafu Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo

    Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu . Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi yameongezeka lakn Tanesco hawajabadili transforma, umeme ni mdogo hata friji na pampu za maji haziwaki...
  11. V

    JamiiForums Tanzania NAUZA MABALO YA MTUMBA NAPATIKANA ILALA BOMA 0657710078

    Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu ✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90 ✅nguo ya mtoto 400000 PC 350 ✅ gauni 400000 PC 130 ✅blouse 380000 pc 280 ✅shati 900000 PC 200 ✅viatu 250 PC 40 ✅ school...
  12. JamiiForums Tanzania DC wa ILALA Asubuhi kaja na "HALA BI MKUBWA" akishirikiana na Mwijaku, Jioni anakuja na CCTV za zaidi ya Million 500 !!

    Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras, kuwepo na Center ya uchakataji wa Taarifa , bado Milioni 500? Jamaa anakula na Kupuliza. sOMA: Pre...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC wa Ilala na Mwijaku wasema kampeni ya 'Hala Bi Mkubwa' itanadi kazi zilizofanywa na Rais Samia

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Katika uzinduzi...
  14. JamiiForums Tanzania Kimara Temboni Mbaliii... Ilala na Nyumba Kali

    https://youtu.be/vOANYMxL3uE?si=pmkUckiKzMBay6eh
  15. JamiiForums Tanzania Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule

    BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo. Wakizungumza...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Natamani kupata majibu kutoka TANESCO Chanika, Ilala kulikoni mnakata sana umeme huko? Shangazi yangu anaishi huko anadai umeme unakatika hata mara 10

    TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo Alinieleza umeme unakatika hata mara 10...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

    Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Ilala: Mbowe atoe tamko kuhusu wapambe wake

    Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…